Tengeneza sentensi zenye maana kwa kutumia ID za member wa JF

Tengeneza sentensi zenye maana kwa kutumia ID za member wa JF

yaani unajianika , nimejua kazi yako , mtazamo wako kwa kusoma tu ulichoandika na avatar , siku nyingene kuwa makini
Acha kuniletea stress zako za maisha,

Umeusoma uzi unahusu nini? Watu wote tunachukulia poa tu kwenye huu uzi ila wewe tu ndio umekua tofauti,

Huna mamlaka yeyote ya kuniambia mimi niwe makini.
 
Sitaki nakifo chako ni kirahisi sana ni njaa yaani huli vizuri hadi kero kula basi hata uishi na afya jamani unakumbuka ulipoenda hospitalini ukakosa choo .😋🤣🤣🤣 acha ubahili ndio maana Lovelovie akakukataa
Yani nakwambia acha kabisa rfk angu.
Mim mtu mbahili hapana kabisa😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom