Tengua - teua ni danganya toto tu! Hazina tija yoyote ile

Hiyo katiba unayoifikiria utaikuta ahera
 
Wanalipwa, yaani ni katiba ya hovyo sn, tunaishi kwa hisani ya Rais na siyo Katiba sheria na taratibu
 
Maneno yakichoko kabisa!vyeo sio vya baba yao wakizingua piga chini,MAMA ANAUPIGA MWINGI.
 
Kuna Dc mmoja, alitenguliwa baada ya miezi 2,akateuliwa tena kuwa Dc wa wilaya nyingine!! Huwa ni sandakalawe tu
 
Raha wanazo wanalipwa
 
Shida ya Tanganyika ni kukosa upeo.

Unaona vile Bibi Kizimkazi anawazuga malofa akijua fika hakuna atakayegundua janja zake.

Ni watanganyika wangapi wenye upeo wa kubaini kwamba Bibi Kizimkazi anacheza mchezo wa kombolela?

Anaruka ruka na kudana dana kama kisungura-tope huku siku zinayoyoma kuelekea 2025.

Akimaliza anakula kona na shungi lake halafu anakuja mwingine kuendeleza maigizo.
 
Yaani ni ujinga ujinga tu!
 
"Mzigo tu unaingia kwenye akaunti" Kumbe ndivyo ilivyo?!

Hili taifa la kiduanzi kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…