Tengua - teua ni danganya toto tu! Hazina tija yoyote ile

Tengua - teua ni danganya toto tu! Hazina tija yoyote ile

Zaidi zinaongeza tu idadi ya waajiriwa wa serikali. Maana wameambiwa watapangiwa kazi nyingine. Kwa muda wote huo wanaposubiri hiyo kazi nyingine huku wakiwa majumbani kwao, mzigo nao kila mwezi unaingia tu kwenye akaunti!!

Aisee Katiba mpya ni muhimu sana. Maana haya madaraka ya Rais ni too much.
Hiyo katiba unayoifikiria utaikuta ahera
 
Zaidi zinaongeza tu idadi ya waajiriwa wa serikali. Maana wameambiwa watapangiwa kazi nyingine. Kwa muda wote huo wanaposubiri hiyo kazi nyingine huku wakiwa majumbani kwao, mzigo nao kila mwezi unaingia tu kwenye akaunti!!

Aisee Katiba mpya ni muhimu sana. Maana haya madaraka ya Rais ni too much.
Wanalipwa, yaani ni katiba ya hovyo sn, tunaishi kwa hisani ya Rais na siyo Katiba sheria na taratibu
 
Maneno yakichoko kabisa!vyeo sio vya baba yao wakizingua piga chini,MAMA ANAUPIGA MWINGI.
 
Naam, nasema wazi kabisa.

Hizi habari za kutengua na kuteua mara kwa mara ni danganya toto tu za kumwonyesha mtenguaji na mteuaji kuwa yupo makini na ni mchapa kazi.

Haiwezekani kukawepo na ufanisi wa kazi ikiwa kila mara unabadilisha watendaji kwa sababu zisizoeleweka.

Utateuaje watu halafu baada ya miezi michache tena unawavuruga kwa kuwatengua na kuwazungushia sehemu zingine?

Hiyo ni alama ya kutokujua unachokitaka. Ukijua unachokitaka huwezi kuwavuruga vuruga watendaji wako kwa kiasi hicho.

Mtu kukaa kwenye idara moja kwa miezi michache halafu anaondolewa na kuwekwa mwingine, na huyo mwingine naye hata hajui atakaa hapo kwa muda gani. Baada ya miezi kadhaa huyo mwingine naye anaondolewa na analetwa mwingine.

Why the revolving door? Why can’t you get it right the first time? Do you even do your due diligence before making your appointments?

Revolving door may not be your stated policy. But it damn sure is your policy.

Kuvuruga watu kwa kiasi hicho hakuna tija na wala hakuleti ufanisi wowote ule.

Major fail!!!
Kuna Dc mmoja, alitenguliwa baada ya miezi 2,akateuliwa tena kuwa Dc wa wilaya nyingine!! Huwa ni sandakalawe tu
 
Baadhi ya watendaji wamekula pasaka na huzuni ,Pdf la Zuhura limewaweka pembeni.

Zamani kwenye mitahani ya siasa/civics ulikuwa unajua kabisa kutaja watendaji wa serikali maana walikuwa wanakaa kwa muda mrefu ila kwasasa hao watendaji hawana raha maana pdf muda wowote linapita.
Raha wanazo wanalipwa
 
Shida ya Tanganyika ni kukosa upeo.

Unaona vile Bibi Kizimkazi anawazuga malofa akijua fika hakuna atakayegundua janja zake.

Ni watanganyika wangapi wenye upeo wa kubaini kwamba Bibi Kizimkazi anacheza mchezo wa kombolela?

Anaruka ruka na kudana dana kama kisungura-tope huku siku zinayoyoma kuelekea 2025.

Akimaliza anakula kona na shungi lake halafu anakuja mwingine kuendeleza maigizo.
 
Yaani ni ujinga ujinga tu!
 
Zaidi zinaongeza tu idadi ya waajiriwa wa serikali. Maana wameambiwa watapangiwa kazi nyingine. Kwa muda wote huo wanaposubiri hiyo kazi nyingine huku wakiwa majumbani kwao, mzigo nao kila mwezi unaingia tu kwenye akaunti!!

Aisee Katiba mpya ni muhimu sana. Maana haya madaraka ya Rais ni too much.
"Mzigo tu unaingia kwenye akaunti" Kumbe ndivyo ilivyo?!

Hili taifa la kiduanzi kweli.
 
Back
Top Bottom