Tengua - teua ni danganya toto tu! Hazina tija yoyote ile

Uko sahihi kabisa
 

Halafu ni wale wale

Wanatoka hapa na kwenda pale

CCM
 
Inafanya mtu asiwe na uhakika na nafasi yake jambo ambalo linashusha utendaji na kuhamasisha wizi@chukua chako mapema.

Yaani mtu hajapanga mipango ya kazi vizuri kashaleftishwa! UDART tangu wabadilishe kila leo nothing has changed.
Stupidity at the peak
 
Hiyo productivity itatoka wapi mtu saa zote, ana wasiwasi kama anaoga nje

Boresha vetting system,mpe ToR,muwezeshe,msimamie + mpe muda,lazima ataleta MATOKEO
 
Mama anaupiga mwingi eti

Kidumu chama cha mapunduzi
 
Wakati msukuma mwenzako anafanya hivyo ulikuwa unashangilia
 
Sasa kama alikuwa anataka msaada ili wananchi wamwelewe makonda alimteua wa nn? Afu gemu limekubali anamtoa tena....sijui anawazaga nn?
 
Musical chairs.
Kwa kweli hata mimi naona we have a fragile Government, unsure of its objectives.
 
Hii ni kupotezeana muda tuu
Juzi CAG kasema wizara ya uchukuzi ATC imeingia hasara ya mabilioni, waziri yuko at leasure
Wizara ya afya ina cheza na afya zetu lakini hawaguswi.
Narudia kusema teuzi hizi ni za kimahaba zaidi na sio kurekebisha serikali
 
Ni kweli.Serikali haiendeshwi na mawaziri,inaendeshwa na permanent secretaries na underlings wao waliomo humo miaka na miaka..

Kiufupi Hawa mawaziri ni figureheads,signatories,watoa hotuba bungeni tu na 'waimba mapambio' wa Rais kwenye jukwaa za kisiasa. policy makers wapo na wamesizi pale Dodoma wanasubiri bajeti nyingine . Hizi tengua tengua ni danganya toto kwa wananchi wakidhani anayekuja ataongeza ufanisi..CRAP
 
Maneno yakichoko kabisa!vyeo sio vya baba yao wakizingua piga chini,MAMA ANAUPIGA MWINGI.
Homo erectus kama nyinyi mmejaa sana Afrika na mmepewa nguvu ya kura moja ndio maana tunashindwa kuendelea
 
Mimi nina mtazamo tofauti kidogo,,, je bora watu wakae mda mrefu ktk nafasi zao hata kama wanapwaya au waondolewe wawekwe wengine?

Jibu lazima watolewe hilo liko wazi,,, shida ipo kwenye uteuzi,, inaelekea washauri bado hawamshauri raisi vizuri,,,madam President alishawi sema siku moja kuwa yeye huletewa majina na kuambiwa fulani anafaa basi yeye huidhinisha tu,, sasa inaelekea baadae anakuja kujionea mwenyewe ha! Huyu mbona sio kama vile nilivyoambiwa?

Chamsingi sasa madam President ahakikishe kila teuzi anayoifanya awe amejiridhisha nayo vya kutosha kabla ya kuwapa dhamana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…