Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
- #41
Halafu kwa nini utoaji wa hiyo ripoti huwa na shamrashamra?Cag akitoa ripoti hakuna kinachofanyika huu ni usanii wa kisiasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu kwa nini utoaji wa hiyo ripoti huwa na shamrashamra?Cag akitoa ripoti hakuna kinachofanyika huu ni usanii wa kisiasa.
Uko sahihi kabisaNaam, nasema wazi kabisa.
Hizi habari za kutengua na kuteua mara kwa mara ni danganya toto tu za kumwonyesha mtenguaji na mteuaji kuwa yupo makini na ni mchapa kazi.
Haiwezekani kukawepo na ufanisi wa kazi ikiwa kila mara unabadilisha watendaji kwa sababu zisizoeleweka.
Utateuaje watu halafu baada ya miezi michache tena unawavuruga kwa kuwatengua na kuwazungushia sehemu zingine?
Hiyo ni alama ya kutokujua unachokitaka. Ukijua unachokitaka huwezi kuwavuruga vuruga watendaji wako kwa kiasi hicho.
Mtu kukaa kwenye idara moja kwa miezi michache halafu anaondolewa na kuwekwa mwingine, na huyo mwingine naye hata hajui atakaa hapo kwa muda gani. Baada ya miezi kadhaa huyo mwingine naye anaondolewa na analetwa mwingine.
Why the revolving door? Why can’t you get it right the first time? Do you even do your due diligence before making your appointments?
Revolving door may not be your stated policy. But it damn sure is your policy.
Kuvuruga watu kwa kiasi hicho hakuna tija na wala hakuleti ufanisi wowote ule.
Major fail!!!
Naam, nasema wazi kabisa.

Exactly!Halafu ni wale wale
Wanatoka hapa na kwenda pale
CCM
Hiyo productivity itatoka wapi mtu saa zote, ana wasiwasi kama anaoga njeBaadhi ya watendaji wamekula pasaka na huzuni ,Pdf la Zuhura limewaweka pembeni.
Zamani kwenye mitahani ya siasa/civics ulikuwa unajua kabisa kutaja watendaji wa serikali maana walikuwa wanakaa kwa muda mrefu ila kwasasa hao watendaji hawana raha maana pdf muda wowote linapita.
Sure ,kwa mizuka ya tengua teua watakuwa wanawaza kupiga fasta fasta na kujiweka sawa tu.Hiyo productivity itatoka wapi mtu saa zote, ana wasiwasi kama anaoga nje
Boresha vetting system,mpe ToR,muwezeshe,msimamie + mpe muda,lazima ataleta MATOKEO
Punguza ukali wa maneno. jenga hojaWe nenda ukajadiliane na nyani wenzio, hakuna unachoelewa
Hii haihitaji katiba ni kurekebisha muongozo ya utumishi wa umma.Aisee Katiba mpya ni muhimu sana.
Musical chairs.Naam, nasema wazi kabisa.
Hizi habari za kutengua na kuteua mara kwa mara ni danganya toto tu za kumwonyesha mtenguaji na mteuaji kuwa yupo makini na ni mchapa kazi.
Haiwezekani kukawepo na ufanisi wa kazi ikiwa kila mara unabadilisha watendaji kwa sababu zisizoeleweka.
Utateuaje watu halafu baada ya miezi michache tena unawavuruga kwa kuwatengua na kuwazungushia sehemu zingine?
Hiyo ni alama ya kutokujua unachokitaka. Ukijua unachokitaka huwezi kuwavuruga vuruga watendaji wako kwa kiasi hicho.
Mtu kukaa kwenye idara moja kwa miezi michache halafu anaondolewa na kuwekwa mwingine, na huyo mwingine naye hata hajui atakaa hapo kwa muda gani. Baada ya miezi kadhaa huyo mwingine naye anaondolewa na analetwa mwingine.
Why the revolving door? Why can’t you get it right the first time? Do you even do your due diligence before making your appointments?
Revolving door may not be your stated policy. But it damn sure is your policy.
Kuvuruga watu kwa kiasi hicho hakuna tija na wala hakuleti ufanisi wowote ule.
Major fail!!!
Hii ni kupotezeana muda tuuNaam, nasema wazi kabisa.

Homo erectus kama nyinyi mmejaa sana Afrika na mmepewa nguvu ya kura moja ndio maana tunashindwa kuendeleaManeno yakichoko kabisa!vyeo sio vya baba yao wakizingua piga chini,MAMA ANAUPIGA MWINGI.