Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Naam, nasema wazi kabisa.
Hizi habari za kutengua na kuteua mara kwa mara ni danganya toto tu za kumwonyesha mtenguaji na mteuaji kuwa yupo makini na ni mchapa kazi.
Haiwezekani kukawepo na ufanisi wa kazi ikiwa kila mara unabadilisha watendaji kwa sababu zisizoeleweka.
Utateuaje watu halafu baada ya miezi michache tena unawavuruga kwa kuwatengua na kuwazungushia sehemu zingine?
Hiyo ni alama ya kutokujua unachokitaka. Ukijua unachokitaka huwezi kuwavuruga vuruga watendaji wako kwa kiasi hicho.
Mtu kukaa kwenye idara moja kwa miezi michache halafu anaondolewa na kuwekwa mwingine, na huyo mwingine naye hata hajui atakaa hapo kwa muda gani. Baada ya miezi kadhaa huyo mwingine naye anaondolewa na analetwa mwingine.
Why the revolving door? Why can’t you get it right the first time? Do you even do your due diligence before making your appointments?
Revolving door may not be your stated policy. But it damn sure is your policy.
Kuvuruga watu kwa kiasi hicho hakuna tija na wala hakuleti ufanisi wowote ule.
Major fail!!!