Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
sasa balaa litakuwa kati ya huyu mbaya federer na nadal
hapo hakuna kuchheka na nyani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pale she was so fast yaani nilikuwa nimeshangilia tayari mana mchina amenifurahisha leo..forehand ilikuwa nzuri ...baaada ya ushindi wake nikahamia counter kushereheka na ushindi wa jana wa federer bata kwenda mbeleeHapa naona hiyu mchina alikuwa kidogo tu achuku na seti ya pili. Sijui ile break point imemchomokaje ?
muda si mrefu nadal vs federe uwanjani vinaingia kwenye fainali
![]()
nani atashinda.?
Nadhani nadal atachukua
Muda si mrefu Nadal Vs Federe Uwanjani vinaingia kwenye fainali
![]()
Nani atashinda.?
Nadhani Nadal atachukua
...come on federer!!!!!!!
....come on Rafa!!!!!!!
hapo kati utata kwenye sambusa hiyo!!hahahhah kamanda kitu gani iko??? icho kilichotuna tuna pale kwenye eneo la "reproduction"
Unforced errors zitam-cost Federer...ameshindwa kuchukua seti ile..