BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Djoko angetoa upinzani zaidi japokuwa sikutaka ashinde ile nusu-fainali na Roger maana leo hii Rafa angekuwa No.2....Nafikiri Roger kuna namna fulani anamwogopa sana Rafa, just like Arsenal defence vs Drogba!
Utadhani ulikuwapo katika mazungumzo na jamaa yangu ya simu dkk chache zilizopita nilitoa kauli hiyo hiyo kwamba Federer hajiamini kabisa anapocheza na Nadal na hivyo anakosa confidence ya kuweza kupambana naye kama anavyocheza na wengine huku.