TENNIS Special Thread

TENNIS Special Thread

its getting worse.........nadal leading 3-2 with a break,u know whats next....4-2


Body language ya Soderling imeshakuwa negative, sijui kama ataweza kushinda hata set moja pamoja na kuwa ana uwezo wa kufanya hivyo.
 
NADAL has won french open final against soderling 6-4,6-2,6-4
 
Dah Nilikuwa mbali sana na mtandao ila Nimesikitishwa na Mswede kushindwa hata kunyakua set moja kwa Clay court maestro! Kwa minajili hiyo Mtu mzima anashuka kwenye Top rank na kuwa namba 2 ..Nadal aalikuwa kwenye top best form!!..na amemwambia kabisa Sodering kuwa leo nilikuwa nipo juu..Hongera zake Nadal
 
Congrats NADAL,back to number 1
 
Back
Top Bottom