Dah Nilikuwa mbali sana na mtandao ila Nimesikitishwa na Mswede kushindwa hata kunyakua set moja kwa Clay court maestro! Kwa minajili hiyo Mtu mzima anashuka kwenye Top rank na kuwa namba 2 ..Nadal aalikuwa kwenye top best form!!..na amemwambia kabisa Sodering kuwa leo nilikuwa nipo juu..Hongera zake Nadal