Unamuona Stan leo mdebwedo. Stan kwa Djokovic ni kama Serena kwa Maria Sharapova.Kwa kichapo alichotoa jana Stan, kama namuona anatinga finals vs Nadal. Stan hatabiriki kabisa, huwa anapotea hadi anasahaulika na akiibuka ni anatoa vichapo vya haja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu Stan anamjulia Feder [emoji23]
Unamuona Stan leo mdebwedo. Stan kwa Djokovic ni kama Serena kwa Maria Sharapova.
Huyu Svitolina huyu ndo atakutana na Serena Williams nusu fainal. Endapo Serena atashinda robo. Ila Elina ni fire. Sijui mwaka huu wamekula yamin na boy friend wake. Imagine Monfils na Svitolina wanachukua US open trophies.
Kabisa huyu Elina, hapa nina wasiwasi anaeza kumtoa Serena [emoji30][emoji30][emoji30]
Yani washinde US Open wote mbona itakua ni historia ya aina yake [emoji16]. Im happy for them, especially vile wanafanikiwa pamoja.
Federer out [emoji1417]
Aiseee! Hii US Open ina maajabu sana! Hongera zake sana Gregor![emoji1491]
Dua zetu mimi, wewe na Victoire hadi leo hii zimeenda vizuri kabisa. Sasa tuanze maombi ya nanihii asirudi 2020 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Serena was SUPERB she needed only 44 minutes to demolish that Russian player. If she plays like like that there is NOBODY in WTA who will stand a chance against her BUT Serena will always be Serena with her inconsistent plays.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunafunga na kuomba huyo asirudi 2020 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Serena was super today! Nimemuonea huruma mchina yani she was demolished[emoji30]
Monfils yupo on fire. Sitashangaa akibeba hii grand slam ya kwanza maishani mwake.
Monfils yupo on fire. Sitashangaa akibeba hii grand slam ya kwanza maishani mwake.
Hapa Diego ananiogopesha. Seti ya pili alikuwa nyuma 5-1 sasa anaelekea 5.Again his fitness was a major reason why he lost this game. What a GAME!
Naacha kuangalia Nadal vs Diego. Naogopa maana........pressure inapanda inashuka. Nitaangalia matokeo baadae.
Serena ni hataree. Hatokubali kupoteza final. Sema Bianca najua kabisa atakuwa anapiga shots za kwenye corner ili Serena ashindwe kuzifuata.VeronicaAmadu na Victoire na wapenda Tennis πΎ wengine hizi mechi mbili za Semifinals si za kukosa. Zote ni mechi ngumu ila Serena akicheza kama juzi basi Svitolina hana nafasi ya kutia mguu kwenye 2019 US Open Final. Enjoy the games.
Juzi kidogo nichanganyikiwe yaani alikuwa anaongoza michezo 4 bado Diego akasawazisha,nyingine ilikuwa 5 bado Diego akasawazisha. Nilichoka. Nadal hakucheza vizuri ile mechi.πππππππππ