Tennis: US Open 2019

Tennis: US Open 2019

Huyu Svitolina huyu ndo atakutana na Serena Williams nusu fainal. Endapo Serena atashinda robo. Ila Elina ni fire. Sijui mwaka huu wamekula yamin na boy friend wake. Imagine Monfils na Svitolina wanachukua US open trophies.
 
Kwa kichapo alichotoa jana Stan, kama namuona anatinga finals vs Nadal. Stan hatabiriki kabisa, huwa anapotea hadi anasahaulika na akiibuka ni anatoa vichapo vya haja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu Stan anamjulia Feder [emoji23]
Unamuona Stan leo mdebwedo. Stan kwa Djokovic ni kama Serena kwa Maria Sharapova.
 
Unamuona Stan leo mdebwedo. Stan kwa Djokovic ni kama Serena kwa Maria Sharapova.

Yani acha tu! Alivokua moto juzi hutajua ni yeye. Nipo hapa siti ya mbele mechi ya Roger vs Dimitrov. I have this crazy feeling kwamba Dimitrov anamtoa Roger [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu Svitolina huyu ndo atakutana na Serena Williams nusu fainal. Endapo Serena atashinda robo. Ila Elina ni fire. Sijui mwaka huu wamekula yamin na boy friend wake. Imagine Monfils na Svitolina wanachukua US open trophies.

Kabisa huyu Elina, hapa nina wasiwasi anaeza kumtoa Serena [emoji30][emoji30][emoji30]
Yani washinde US Open wote mbona itakua ni historia ya aina yake [emoji16]. Im happy for them, especially vile wanafanikiwa pamoja.
 
Federer out 👍🏽

Dua zetu mimi, wewe na Victoire hadi leo hii zimeenda vizuri kabisa. Sasa tuanze maombi ya nanihii asirudi 2020 😂😂😂😂😂

Serena was SUPERB she needed only 44 minutes to demolish that Russian player. If she plays like like that there is NOBODY in WTA who will stand a chance against her BUT Serena will always be Serena with her inconsistent plays.

Aiseee! Hii US Open ina maajabu sana! Hongera zake sana Gregor![emoji1491]
 
Dua zetu mimi, wewe na Victoire hadi leo hii zimeenda vizuri kabisa. Sasa tuanze maombi ya nanihii asirudi 2020 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Serena was SUPERB she needed only 44 minutes to demolish that Russian player. If she plays like like that there is NOBODY in WTA who will stand a chance against her BUT Serena will always be Serena with her inconsistent plays.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunafunga na kuomba huyo asirudi 2020 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Serena was super today! Nimemuonea huruma mchina yani she was demolished[emoji30]
 
Kweli Serena utashangaa amemalizq ng’ombe mzima anashindwa mkia, unakuta anapatwa na melt down yani ole wake this time alete huo upuuzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
More prayers for Serena’s semifinal match, the girl from Ukraine is very dangerous.

Asirudi huyo 2020 kufunga na maombi ni muhimu sana.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunafunga na kuomba huyo asirudi 2020 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Serena was super today! Nimemuonea huruma mchina yani she was demolished[emoji30]
 
Monfils yupo on fire. Sitashangaa akibeba hii grand slam ya kwanza maishani mwake.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hii mechi ya Monfils na huyu Mtaliano Berrettini ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
Naacha kuangalia Nadal vs Diego. Naogopa maana........pressure inapanda inashuka. Nitaangalia matokeo baadae.
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
VeronicaAmadu na Victoire na wapenda Tennis 🎾 wengine hizi mechi mbili za Semifinals si za kukosa. Zote ni mechi ngumu ila Serena akicheza kama juzi basi Svitolina hana nafasi ya kutia mguu kwenye 2019 US Open Final. Enjoy the games.
 
Serena ni hataree. Hatokubali kupoteza final. Sema Bianca najua kabisa atakuwa anapiga shots za kwenye corner ili Serena ashindwe kuzifuata.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Juzi kidogo nichanganyikiwe yaani alikuwa anaongoza michezo 4 bado Diego akasawazisha,nyingine ilikuwa 5 bado Diego akasawazisha. Nilichoka. Nadal hakucheza vizuri ile mechi.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom