Tennis: US Open 2019

Naam mie pia. Naangalia game RAFA anaongoza 4-1 nikaacha kuangalia kidogo nikijua set ya kwanza kishachukua, narudi kuangalia tena 4-4 nikasema hii mechi kumbe ngumu kwa RAFA si kama nilivyodhani BUT he prevailed. Serena and Bianca tomorrow will be πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Juzi kidogo nichanganyikiwe yaani alikuwa anaongoza michezo 4 bado Diego akasawazisha,nyingine ilikuwa 5 bado Diego akasawazisha. Nilichoka. Nadal hakucheza vizuri ile mechi.
 
Huyu Bianca acha kabisa ana determination ya hali ya juu. Nilijua jana anafungwa BUT she fought back and surprise the Tennis World. Serena must be EXTRA CAREFUL in order to reduce unforced errors and double faults. Otherwise number 24 will be hard to get.

Serena ni hataree. Hatokubali kupoteza final. Sema Bianca najua kabisa atakuwa anapiga shots za kwenye corner ili Serena ashindwe kuzifuata.
 
Bianca simuogopi sana, nilimuogopa zaidi Svitolina, lakini Svitolina nadhani alikua too nervous. Hakujiamini kabisa kama tulivomzoea. Naamini Serena anachukua mchana kweupeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ulimuona Bianca jana? Serena must be exceptional in order to play at the highest level with fewer errors and double faults.

Bianca hana ubavu kwa Serena, jana nimemuangalia vizuri mechi yake na Belinda sina wasiwasi kabisa. Nilikua namuogopa Svitolina. Serena hopefully hatapata any meltdown this time [emoji1438]‍♂️ fingers crossed 🀞
 
πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½ Let’s hope for the best.

Bianca hana ubavu kwa Serena, jana nimemuangalia vizuri mechi yake na Belinda sina wasiwasi kabisa. Nilikua namuogopa Svitolina. Serena hopefully hatapata any meltdown this time [emoji1438]‍♂ fingers crossed 🀞
 
Bianca hana ubavu kwa Serena, jana nimemuangalia vizuri mechi yake na Belinda sina wasiwasi kabisa. Nilikua namuogopa Svitolina. Serena hopefully hatapata any meltdown this time [emoji1438]‍♂️ fingers crossed 🀞
Bianca na Serena walikuna last month kwenye Rogers final Toronto,miaka alikuwa anaongoza michezo 3 huku serena akiwa na mmoja tu kwenye seti ya kwanza. Serena aliretire kabla hata seti ya kwanza haijaisha kisa aliumia. Bianca sio hatari eti. Hii fainali ni kama rematch.
 
Ulimuona Bianca jana? Serena must be exceptional in order to play at the highest level with fewer errors and double faults.
Pia kakutana na huyu huyu Serena last month kule Totonto kwenye Rogers final. Serena aliumia so akaretire.Mpaka anaretire Bianca alikuwa 3 ,Serena alikuwa 1 kwenye seti ya kwanza ambayo haikumalizika.
 
I am watching Nadal VS Berrettini. Berrettini is still toe to toe with Nadal.

Pia kakutana na huyu huyu Serena last month kule Totonto kwenye Rogers final. Serena aliumia so akaretire.Mpaka anaretire Bianca alikuwa 3 ,Serena alikuwa 1 kwenye seti ya kwanza ambayo haikumalizika.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ni kweli wengi wao ni Pro Federer. Kama umechoka kalale ila hii mechi bomba sana na naamini Nadal ataibuka kidedea I hope in 3 or 4 sets.

Ni shida. Hawa commentetors ndo wananimaliza nguvu. Watakuwa team Roger Federer hawa. Mechi ngumu hii. Natamani nikalale tu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ni kweli wengi wao ni Pro Federer. Kama umechoka kalale ila hii mechi bomba sana na naamini Nadal ataibuka kidedea I hope in 3 or 4 sets.
Dah bora wewe unaamini. Mimi nina wasiwasi. Hope atashinda.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…