BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Naam mie pia. Naangalia game RAFA anaongoza 4-1 nikaacha kuangalia kidogo nikijua set ya kwanza kishachukua, narudi kuangalia tena 4-4 nikasema hii mechi kumbe ngumu kwa RAFA si kama nilivyodhani BUT he prevailed. Serena and Bianca tomorrow will be 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Juzi kidogo nichanganyikiwe yaani alikuwa anaongoza michezo 4 bado Diego akasawazisha,nyingine ilikuwa 5 bado Diego akasawazisha. Nilichoka. Nadal hakucheza vizuri ile mechi.