Nasubiri ila mimi naona Bianca anabeba kikombe.Subiri
Mimi ni shabiki tu. Ila leo naona Bianca atabeba kikombe. Huyu binti ana strong mind sana. Alikuwa nyuma ya Belinda nusu fainal ila alikuja na akashinda. Sasa leo yupo mbele tayari. Naona atachukua kikombe.Vitorie ulishawaona live hawa watu? Kama wewe ni mchezaji wa Tennis unajua mchezo ulivyo. Kama huchezi basi utashangilia.
Biaca mdachi na nadal mspanish wapi na wapiMimi nina amini washindi wa Rogers cup ndo washindi wa US open 2019.Bianca and Rafa πππππππ
Bianca alishinda last month fainal za Rogers cup kule Toronto Canada. Rafael pia alishinda hizo fainal. Hukunielewa. Naona umekoment nje ya nilichomaanisha.Biaca mdachi na nadal mspanish wapi na wapi
shida sasaWOW!
Hongera!!!!!! UK hawaonyeshi mpaka uwe kwenye sky hivyo sioni live.Bianca alishinda last month fainal za Rogers cup kule Toronto Canada. Rafael pia alishinda hizo fainal. Hukunielewa. Naona umekoment nje ya nilichomaanisha.
Not bad at 37 to reach final!!!!She is Canadian
At least we stayed away from udaku. Tennis for ever.Mimi ni shabiki tu. Ila leo naona Bianca atabeba kikombe. Huyu binti ana strong mind sana. Alikuwa nyuma ya Belinda nusu fainal ila alikuja na akashinda. Sasa leo yupo mbele tayari. Naona atachukua kikombe.
Nilichokuwa nasema nilikuwa namaanisha coz I saw most of her games. Hata ile fainali ya last month niliangalia.Hongera!!!!!! UK hawaonyeshi mpaka uwe kwenye sky hivyo sioni live.
Nipo jamani ila siangalii, hata hivyo nimekubaki matokeo, roho inauma lakini ndio sports, hutashinda kila siku. May the best player win. Naendelea kulima hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
At least we stayed away from udaku. Tennis for ever.
Huyu mtoto simfahamu halafu sikupata bahati ya kumwona sababu hapa kwetu hatuna sky ila nilipokuwa nyumbani niliangalia mwanzo wa mchezo. I am so interested to know this kid sababu sasa tennis inazaa kizazi kipya. Sisi wahenga tunashikilia wale tuliowaona wanakua.Nilichokuwa nasema nilikuwa namaanisha coz I saw most of her games. Hata ile fainali ya last month niliangalia.
nite niteIla Serena anastahili pongezi pia. Kufika fainali siyo rahisi. Kesho kimbembe sasa. Nahisi sitaangalia hiyo game. Nitaangalia replay endapo Rafa atakuwa kashinda. Vamos Rafa.