Tennis: US Open 2019

Tennis: US Open 2019

Vitorie ulishawaona live hawa watu? Kama wewe ni mchezaji wa Tennis unajua mchezo ulivyo. Kama huchezi basi utashangilia.
Mimi ni shabiki tu. Ila leo naona Bianca atabeba kikombe. Huyu binti ana strong mind sana. Alikuwa nyuma ya Belinda nusu fainal ila alikuja na akashinda. Sasa leo yupo mbele tayari. Naona atachukua kikombe.
 
Biaca mdachi na nadal mspanish wapi na wapi
Bianca alishinda last month fainal za Rogers cup kule Toronto Canada. Rafael pia alishinda hizo fainal. Hukunielewa. Naona umekoment nje ya nilichomaanisha.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Nipo jamani ila siangalii, hata hivyo nimekubali matokeo, roho inauma lakini ndio sports, hutashinda kila siku. May the best player win. Naendelea kulima hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
😂😂😂😂😂😂😂😂nitakuja kukusaidia kupanda 😜😜😜


Nipo jamani ila siangalii, hata hivyo nimekubaki matokeo, roho inauma lakini ndio sports, hutashinda kila siku. May the best player win. Naendelea kulima hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila Serena anastahili pongezi pia. Kufika fainali siyo rahisi. Kesho kimbembe sasa. Nahisi sitaangalia hiyo game. Nitaangalia replay endapo Rafa atakuwa kashinda. Vamos Rafa.
 
Nilichokuwa nasema nilikuwa namaanisha coz I saw most of her games. Hata ile fainali ya last month niliangalia.
Huyu mtoto simfahamu halafu sikupata bahati ya kumwona sababu hapa kwetu hatuna sky ila nilipokuwa nyumbani niliangalia mwanzo wa mchezo. I am so interested to know this kid sababu sasa tennis inazaa kizazi kipya. Sisi wahenga tunashikilia wale tuliowaona wanakua.
 
Ila Serena anastahili pongezi pia. Kufika fainali siyo rahisi. Kesho kimbembe sasa. Nahisi sitaangalia hiyo game. Nitaangalia replay endapo Rafa atakuwa kashinda. Vamos Rafa.
nite nite
 
Back
Top Bottom