VeronicaAmadu
JF-Expert Member
- May 4, 2011
- 310
- 380
- Thread starter
- #141
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilijua utamtaja Osaka. Mie nataka marudio ya last year’s US Open final ili Serena aweze kurevenge. Nampenda Osaka pia ila naye ameanza kuwa na negative attitude inayomgharimu kwenye uchezaji wake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi bado naogopa rematch, Serena lately hatabiriki kwenye finals anaweza akatolewa tena na hiyo itaniuma kuliko maelezo unajua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
You are right kameanza jeuri flani hivi tangu kamfunge Serena. Akamtimua na coach wake Sasha tangu hapo hajashinda GS tena. Hawa watoto wakishashinda GS moja wanaona wameshamaliza kila kitu wanafukuza makocha wao.