BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
๐๐๐๐๐๐
Kabisa! Naomba atolewe next, fingers crossed [emoji18]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa! Naomba atolewe next, fingers crossed [emoji18]
Huyu anaweza mkalisha hata Serena. Uzuri hawakutani mpaka final tu.
Hahahahahah.Kama walivyobreath jana mashabiki wa Federer baada ya Djokovic kutolewa.Nilikua sitaki kabisa kakutane na Serena, phew! I can breathe now [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Nilikua sitaki kabisa kakutane na Serena, phew! I can breathe now [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Mimi ni fan wa roger nataman kweli achukue lakini yule nadal mkamiaji sanaTuombe Federer atolewe. Maana huyu ndo mwimba kwa Nadal.
Jana Serena alianguka nikawa na wasiwasi kweli lakini alivyorudi akamaliza vizuri. I hope ankle yake haina matatizo.
Roger akifika fainali basi asilimia ni nyingi sana anachukua. Mbabe wa Roger ni Novac pekee. Nadal ni mtemi wa Roger kwenye uwanja wa vumbi kule Roland Garros.Mimi ni fan wa roger nataman kweli achukue lakini yule nadal mkamiaji sana
Bora kametolewa. Sasa nasali Stan the Man au Medvedev waje mmoja wao atakaesonga mbele aje anitolee Roger. Najua ni ngumu ila inawezekana. Nataka njia safi kwa Nadal.
Stan mwisho wake kwa Medvedev. Akipita hapo basi kiboko yake kabisa ni Roger. Kwa Roja pale hapiti.Kwa kichapo alichotoa jana Stan, kama namuona anatinga finals vs Nadal. Stan hatabiriki kabisa, huwa anapotea hadi anasahaulika na akiibuka ni anatoa vichapo vya haja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu Stan anamjulia Feder [emoji23]
Yani niliogopa mno! Same exact thing as Australia. Wanasema zile tape zimesaidia otherwise angeweza ateguke vibaya. [emoji30]
Stan mwisho wake kwa Medvedev. Akipita hapo basi kiboko yake kabisa ni Roger. Kwa Roja pale hapiti.
Huyu Mjerumani Zverev ambaye sasa hivi anacheza naye aliwahi kumnyanyasa Nadal. Ingawaje miezi ya karibuni performance yake ilikuwa so so.
Naona safari ya kurudi Ujerumani inanukia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Schwartzman mtu mbaya sana [emoji2][emoji2]
Huyo Muargentina hakutaka mchezo kabisa pamoja na kuwa down one set alipambana na kushinda the next 3 sets and book his place in the Quarterfinals.
Safi sana. He earned it. He deserve to be in the Quarters.
Monfils ameshinda. Naona yuko serious sana safari hii [emoji1545][emoji1545][emoji1545] Nadhani kuwa na girlfriend on the tour imewasaidia sana wote wawili. I like them.
Youโre one [emoji817] correct. Monfils and Svitolina practice together and they motivate each other to go further in the tournament. I like both Monfils and Tsonga but IMO they donโt put more efforts as Nadal, Federer and Djokovic wakishapata vijisenti wanatosheka na kujirusha sana instead of putting more efforts to be among the best.
Naangalia Nadal na Cilic huyu Cilic ni hatari sana. Nadal must put more efforts in order to knock him out.
Cillic is out of gas [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alijitahidi set 2 tukapata wasiwasi.
Hivi Tsonga kwenye US open alishiriki? Hata sijamsikia.