Tennis: US Open 2019

Tennis: US Open 2019

Hii mechi ngumu huyu muitaliano mbishi balaa! Nadal ame survive first set kibahati sana! Naogopa kuendelea kuangalia [emoji1438]‍♂️
 
Bianca na Serena walikuna last month kwenye Rogers final Toronto,miaka alikuwa anaongoza michezo 3 huku serena akiwa na mmoja tu kwenye seti ya kwanza. Serena aliretire kabla hata seti ya kwanza haijaisha kisa aliumia. Bianca sio hatari eti. Hii fainali ni kama rematch.

Naikumbuka ile, lakini naamini Serena hakua fiti, sasa hivi yuko fiti sana na based on her last two matches (Svitolina na Wang) she is unmatched. Bianca mkali sana ila akimkuta Serena aliye fiti kama sasa hivi patachimbika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] I am watching but a little bit nervous.

Rafa is back si unamuona? Nadhani muitaliano kupoteza set ya kwanza kumemvuruga sana. He cant believe it! He is done. Vamos [emoji1491][emoji1491][emoji1491][emoji1491]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona umepata nguvu. Ila huyu muitaliano akicheza hivi in future atasumbua sana na labda kabla ya December atakuwemo kwenye top 10 ATP Players.

Sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rafa atabaki kua juu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Rafa is very strong mentally, ndo hapo new comers wanapomshindwa. Muitaliano ana good future ahead. Kwa hii akubali matokeo tu Rafa ni Rafa [emoji23][emoji23]
 
Kishashinda hii it is just a matter of time next is Medvedev on Sunday. 😜

Sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rafa atabaki kua juu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Rafa is very strong mentally, ndo hapo new comers wanapomshindwa. Muitaliano ana good future ahead. Kwa hii akubali matokeo tu Rafa ni Rafa [emoji23][emoji23]
 
Naikumbuka ile, lakini naamini Serena hakua fiti, sasa hivi yuko fiti sana na based on her last two matches (Svitolina na Wang) she is unmatched. Bianca mkali sana ila akimkuta Serena aliye fiti kama sasa hivi patachimbika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
DANIIL MEDVEDEV Vs RAFAEL NADAL

Wababe hawa wanakutana kwenye fainali ya US Open 2019 kwa upande wa wanaume. Moja ya fainali bora kabisa kwa mwaka huu, ubora wao ndio unaifanya fainali hii kuwa bora.

Hapa nataka nimzungumzie kwa ufupi kijana Medvedev, kijana huyu Mrusi mwenye miaka 23 basi bila shaka mwaka 2019 ni bora kabisa kwake. Mwaka huu wa 2019 kijana huyu amefanya mengi sana katika mchezo wa tennis, ameweza kupambana mpaka kushika nafasi ya 5 katika ATP Players, ameweza kupambana mpaka kucheza fainali 4 mfululizo, ameweza kuwatandika vigogo waliokuwa juu yake hapa nawazungumzia kina Novak Djokovick, Thiem Dominic, Tistisipas na wengineo wengi tu. Pia kijana huyu amejitangaza vizuri kabisa, hakuna mdau ama mpenda tennis asiye mjua Medvedev.

Fainali hii anayo kutana na King of Clay hapa namzungumzia Rafael Nadal itakuwa ya pili mfululizo wanakutana kwa mwaka huu. Ya kwanza walikutana Agosti 11 kule Montreal, Canada katika michuano ya Rogers Cup ambapo Medvedev akufua dafu mbele ya mkali Nadal. Hivyo basi fainali hii itakuwa ya kulipiza kisasi kwa upande wa Medvedev wakati Nadal akisaka Gland Slam yake ya pili kwa mwaka huu.

Fainali hii sio ya kukosa kabisa tizama kiwango alichokuwa nacho Medvedev mwaka huu alafu tizama anakutana na nani katika fainali hii, huwezi kosa kama uko serious na mchezo wa tennis. Pindi nikimuona Medvedev huwa najiuliza ukiwatoa Nadal, Djokovick pamoja na Federer ni nani wakumzuia Mrusi huyu nawaza kisha nasema hayupo kabisa. Medvedev ni kijana anae kuja vizuri kabisa akiendelea hivi kama anavyoendelea basi bila shaka mbeleni atakuwa mchezaji mkubwa katika Tennis.
 
Iam happy for Rafa. Though nilikuwa na wasiwasi hasa kwenye tie breaker wakati Muitaliano alikuwa anaongoza 4 ,huku Rafa akiwa na zero. Sikuvumilia ikabidi nikalale. Nimefurahi kuamka naangalia matokeo Rafa kashinda. Another Challenge kesho I hope Rafa atabeba his 19th Slam.
 
Nilitamani uamke baada ya Rafa kushinda tie break. Kibao kiligeuka Matteo akajikatia tamaa kabisa mchezo ukaisha haraka sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom