Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Hapana yaani huwa naumia sana Rafa akiwa anapelekwa puta.Nilitamani uamke baada ya Rafa kushinda tie break. Kibao kiligeuka Matteo akajikatia tamaa kabisa mchezo ukaisha haraka sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]