Tennis: US Open 2019

Tennis: US Open 2019

Mimi nina amini washindi wa Rogers cup ndo washindi wa US open 2019.Bianca and Rafa πŸ’œπŸ’œπŸ’œπŸ’œπŸ’œπŸ’œπŸ’œ
 
I am on the same page.

Mimi nina amini washindi wa Rogers cup ndo washindi wa US open 2019.Bianca and Rafa πŸ’œπŸ’œπŸ’œπŸ’œπŸ’œπŸ’œπŸ’œ
 
Any way ndo mchezo.Watoto nao ndo wanazidi kuja moto. Number 24 itapatikana kweli ?
 
Ile siku ya Roger cup Serena aliretire kwa kuumia kweli au alikigwaya hiki kitoto ?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
πŸ€·πŸΎβ€β™‚οΈπŸ€·πŸΎβ€β™‚οΈπŸ€·πŸΎβ€β™‚οΈ

Ile siku ya Roger cup Serena aliretire kwa kuumia kweli au alikigwaya hiki kitoto ?
 
😩😩😩😩😩😩😩

Bianca is 2019 US Champion SAD but TRUE Grand Slam #24 is still HARD TO GET.
😩😩😩😩😩😩
 
Serena asubiri Australia Open. Najua anataka kuweka record ya 24.Ila ndo hivyo anapanic sana vitoto vikiwa vinaongoza na anapoteza kabisa control ya mchezo. Meghan nae kutumia pesa ya walipa kodi wa UK kisa kuja kumuangalia shost ake akiaibishwa na kitoto cha miaka 19.
 
Back
Top Bottom