Teolojia ya Ukombozi wa Rasilimali za Watanzania Wanyonge Dhidi ya Wageni: Tamko la Maaskofu wa TEC juu ya Bandari zetu limegonga penyewe!

Unaongelea Appendix 1 phase One--Bandari moja ya Dar.
Tatizo kubwa la kuuza nchi liko Appendix 1 phase two--Bandari 87 za Bara.
Wanachofanya ni kutumia JIGGER PRINCIPLE.
Wanaingia pole pole, kimya kimya.
We resist that.
 
Unaongelea Appendix 1 phase One--Bandari moja ya Dar.
Tatizo kubwa la kuuza nchi liko Appendix 1 phase two--Bandari 87 za Bara.
Wanachofanya ni kutumia JIGGER PRINCIPLE.
Wanaingia pole pole, kimya kimya.
We resist that.
Upotoshaji kama wa kwako ndio unaiangamiza nchi mazima na maaskofu wakikusikia au wakikusoma ndio wanakazia kabisa kwenye waraka wao.

DP World kawekeza duniani pote hajaingia kimya kimya ila hapa Tanzania ndio aje atuibie!!, bull shit mentality.
 
Basi bila uthibitisho wa hayo uliyosema andiko lako love linakuwa trash!

Nikiambiwa nitaje members watatu wa JF wanaoandika "trash" ni hawa:

1. Lord Denning
2. FaizaFoxy
3. The Boss.

Hivyo, hawa hawana moral authority ya kunambia niache kuandika "trash".
 
Vipengele 1 and 4 kwenye mchanganuo wako vimefanana, lakini cha kushangaza kimoja in «tunu hasi» na kingine ni «tunu chanya». Mama Amon bado unaendeleza mambo yako ya ku plagiarize na kutafsirii siyo? Halafu mifano na hitimisho haviendani na hoja ya udini, usiasa, siasa na dini? Huyo Rostam Aziz anaweza kuwa ni fisadi papa kama unavyodai, lakini anaingiaje kwenye hoja ya udini, usiasa, dini na siasa? Au tuseme, yupo kundi gani? Na maaskofu wa TEC wapo kundi gani? Tupe mifano hai ya watu waliyo kwenye kila kundi (makundi 4 ).
 

Vipengele vinne ulivyotaja haviko sawa, bali vinafanana na kutofautiana.
Na hayo mawili diyo nilikusudia kuyapambanua.
Soma mchoro huu tena kwa umakini halafu unambie tatizo lako!

 
Vipengele vinne ulivyotaja havifanani.
Soma mchoro huu tena kwa umakini!

View attachment 2724148
1. Watanzania wenye udini na wenye usiasa. Hawa wanatumia dini kama mbinu ya kufanikisha malengo ya kisiasa, na kutumia siasa kama mbinu ya kufanikisha malengo ya kidini. Hii ni tunu hasi.

4. Watanzania wasio na udini na wasio na usiasa. Hawa wanatumia dini kama mbinu ya kufanikisha malengo ya kisiasa, na kutumia siasa kama mbinu ya kufanikisha malengo ya kidini. Hii ni tunu chanya.


Hivyo vipengele hapo juu vinafanana. Lkn kimoja ni hasi na kingine ni chanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…