Roca fella
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 2,077
- 4,152
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi naomba uthibitisho na ushahidi wako kwenye maneno yako kwenye hoja ulizo,iweka hapo kuanzia no 2 hadi 10
Unaongelea Appendix 1 phase One--Bandari moja ya Dar.Umeandika mengi lakini ukishapotoshwa ni rahisi wewe kupotosha wengine bila ya kujua kuwa unapotosha.
Mwekezaji DP World anapangishwa magati namba tatu mpaka namba nane tu, kuanzia namba tisa mpaka namba kumi nambili atakuja mwekezaji mwingine, serikali yenyewe ina hodhi magati namba sifuri mpaka namba mbili.
Pia kuna mwekezaji anayekuja pale Bagamoyo kuwekeza, haya ni masuala ya kiuchumi inasikitisha sana kuona yakichanganywa na siasa nyingiii zisizohusiana nayo!!. Inasikitisha sana kwa kweli.
Kuwa na Bandari ni mpango wake Mungu lakini kuitumia kwa faida ya nchi ni suala letu sisi kama taifa, tuamue kusuka au kunyoa.
Basi bila uthibitisho wa hayo uliyosema andiko lako love linakuwa trash!Sina muda wa kuingia kwenye ligi ya aina hiyo.
I have played my part.
Do your homework.
Play your part.
Upotoshaji kama wa kwako ndio unaiangamiza nchi mazima na maaskofu wakikusikia au wakikusoma ndio wanakazia kabisa kwenye waraka wao.Unaongelea Appendix 1 phase One--Bandari moja ya Dar.
Tatizo kubwa la kuuza nchi liko Appendix 1 phase two--Bandari 87 za Bara.
Wanachofanya ni kutumia JIGGER PRINCIPLE.
Wanaingia pole pole, kimya kimya.
We resist that.
Basi bila uthibitisho wa hayo uliyosema andiko lako love linakuwa trash!
Kwa maoni yetu, basi, Rais Mstaafu KIkwete aliongelea tunu nne zifuatazo: tunu chanya ya "kuchanganya dini na siasa," tunu hasi ya "kuchanganya udini na siasa," tunu hasi ya "kuchanganya dini na usiasa," na tunu hasi ya "kuchanganya udini na usiasa,"
- Watanzania wenye udini na wasio na usiasa. Hawa wanatumia dini kama mbinu ya kufanikisha malengo ya kisiasa. Hii ni tunu hasi.
- Watanzania wasio na udini na wenye usiasa. Hawa wanatumia siasa kama mbinu ya kufanikisha malengo ya kidini. Hii ni tunu hasi.
- Watanzania wasio na udini na wasio na usiasa. Hawa wanatumia dini kama mbinu ya kufanikisha malengo ya kisiasa, na kutumia siasa kama mbinu ya kufanikisha malengo ya kidini. Hii ni tunu chanya.
Hivyo basi, kwa maoni yetu kuchanganya dini na siasa sio tatizo, maana tunafanya hivyo kila siku, kama picha za KIkwete hapa chini zinavyoonyesha.
Lakini, kuna tatizo katika matatu yaliyo baki. Yaani, tunu hasi zifuatazo: "kuchanganya udini na siasa," "kuchanganya dini na usiasa," na "kuchanganya udini na usiasa."
Hivyo, tunafikiri kwamba, KIkatiba na kisheria, onyo la Rais Mstaafu, Jakaya KIkwete, kuhusu alichokiita "tunu ya kutochanganya dini na siasa," kama likitazamwa katika wigo wa uchambuzi huu, linapaswa kutfsiriwa katika mipaka ifuatayo:
Kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania, hasa ibara ya 19(2), ukuta unaotenganisha maisha ya kidini na maisha ya kisiasa ni kama "semi-permeable membrane," tuliyoisoma kwenye bayolojia ya seli.
Yaani, ni ukuta wenye milango inayoruhusu vitu vilivyoko upande mmoja kupenya na kwenda upande wa pili, lakini inakataza vitu vilivyo upande wa pili kupenya na kuingia upande wa kwanza.
Ukuta wa kikatiba unaotenganisha dini na siasa unayo milango kama hiyo pia. Unawaruhusu watu walioko upande wa dini kusukuma mlango na kuingia upande wa serikali, lakini unawakataza watu walioko upande wa serikali kusukuma mlango na kuingia upande wa dini.
Hivyo, makuhani wanaweza kugombea udiwani, ubunge na urais, kama sheria za makanisa yao haziwakatazi. Mfano mzuri ni Askofu Gwajiboy ambaye ni Mbunge wa Kawe kupitia CCM.
Pia wanaweza kuzikosoa sera za serikali kwa niaba ya waumini wao. Lakini serikali haiwezi kuanzisha dini rasmi ya Taifa wala kuzikosoa sera za ndani ya taasisi za kidini, isipkuwa pale zinapokiuka katika ya nchi.
Mwaka 1973, Profesa Gustavo Gutierez Merino wa Peru, huko Amerika ya Kusini, aliandika kitabu "A Theology of Liberation: History, Politics, and Salvation," kwa ajili ya kufafanua ukweli hii.
Tunaambatanisha kitabu kizima hapa chini baada ya kunukuu baadhi ya kauli zake muhimu kwa Tanzania ya leo hapa chini....
“An essential clue to the understanding of poverty in liberation theology is the distinction, made in the Medellín document 'Poverty of the Church,' between three meanings of the term 'poverty': real poverty as an evil—that is something that God does not want; spiritual poverty, in the sense of a readiness to do God's will; and solidarity with the poor, along with protest against the conditions under which they suffer.”“The denunciation of injustice implies the rejection of the use of Christianity to legitimize the established order.”“In the final analysis, poverty means death: lack of food and housing, the inability to attend properly to health and education needs, the exploitation of workers, permanent unemployment, the lack of respect for one's human dignity, and unjust limitations placed on personal freedom in the areas of self-expression, politics, and religion.”“There are not two histories, one profane and one sacred, 'juxtaposed' or 'closely linked.' Rather there is only one human destiny.”“History is no longer as it was for the Greeks, an anamnesis, a remembrance. It is rather a thrust into the future.”
Kwa hiyo, kuhusu Teolojia ya Ukombozi wa Rasilimali za Watanzania Wanyonge Dhidi ya Waarabu wa Dubai, Tamko la Maaskofu wa TEC juu ya Bandari zetu limegonga penyewe kwa wakati sahihi.
Tusisahau kwamba sababu zilizowasukuma Maaskofu wa TEC kuchukua hatua waliyoichukua ni nyingi kuliko zile walizozitaja kwenye tamko. Mifano ya sababu ambazo hawakuzitaja hizi hapa:
1. Hayati Magufuli alipiga marufuku makinikia kusafirishwa nje ya nchi, lakini leo marufuku hii imefutwa na kampuni ya kina Rostam Azizi inayoitwa Taifa Transport and Logistics Ltd ndiyo inasafirisha makinikia haya kutoka mikaoni hadi bandarini, kuyapakia kwenye meli hadi huko ng'ambo. Makao yake makuu yako Plot No. 77, Kipawa, Kiwalani Industrial Area, Dar es Salaam, Tanzania.
2. Rais Mstaafu KIkwete alimwahidi Rostam kile kiwanja cha Oysterbay, ilikokuwa POlice Officers Mess, kwa kuwa alitaka kuleta Wachina kujenga Supermarket kwa sharti kwamba wapewe Title Deed ya miaka 99. Mapatano yalikuwa kwamba, Rostam ajenga Kwota za Polisi kule Kunduchi, Pale Morocco, na Kuhamisha Kituo cha Polisi cha Oysterbay na kukijenga pale Namanga kilipo sasa. Rostam kafanya haya yote kwa fedha yake ili apate uhalali wa kumilikishwa kiwanja cha Masaki. Ghafla Mwamba JPM akaingia Ikulu kabla Rostam hajakabidhiwa kiwanja hicho. Rostam akaambiwa, chagua moja: ama nikurudishie fedha zako au nikupe kiwanja kule Bagamooyo, lakini sio hapa Masaki. Rostam kwa unyonge akaomba arudishiwe fedha zake, Na Magufuli hadi anakufa aligoma kuzindua zile KJwota za Polisi kwa sababu ya hasira! Zimezinduliwa majuzi wakati wa uongozi wa Rais Samia.
3. Lakini, wakati hayati Magufuli alimnyima Rostam kile kiwanja cha Oysterbay, ilikokuwa POlice Officers Mess, kwa kuwa alitaka kuleta Wachina kujenga Supermarket kwa sharti kwamba wapewe Title Deed ya miaka 99, leo tunataka kutoa bandari zote 88 kwa miaka zaidi ya 99.
4. Wakati hayati Magufuli alikataa wazo la kuhamisha kituo cha Polisi cha Oysterbay hadi Namanga, japo akawa amechelewa, na hilo likatokea chini ya awamu ya Kikwete; alichukua hatua za haraka kuzuia michakato iliyokuwa ifuate. Alifanya hivyo mara tu baada ya kuingia ofisini. Leo Samia anataka kuhamisha Chuo cha Polisi cha Kigamboni na kukipeleka anakokujua yeye, ili KIgamboni awakabidhi Waarabu wa Dubai kwa miaka zaidi ya 99. Watalipa fidia kama Rostam alivyotaka kufanya wakati anahamisha kituo cha Polisi cha Oysterbay kutoka kule ufukweni hadi pale Namanga.
5. Mdogo wake Rostam, aitwaye Akram Aziz, alishtakiwa na kupokonywa bunduki 56 alizokuwa anamiliki kiharamu kwa ajili ya ujangili, lakini sasa amerudishiwa silaha hizo, na ujangili ni business as usual.
6. Akram Aziz aliposhtakiwa mwaka 2018 Mahakama ilitaka afungwe na kulipa faini kwa pamoja, lakni Nchimbi wakati huo akiwa waziri wa Mambo ya Ndani akacheza muziki wake adhabu ikawa either/or scenario. Zawadi yake ilikuwa ni bonge la "kitu" kule Boko. Sasa Nchimbi amerudishwa nchini, huenda, kwa ajili ya kuimarisha Timu Rostam.
7. Hakuna mwekezaji wa kigeni anayekanyaga Tanzania bila kwanza kwenda KUHIJI NA KUSUJUDU nyumbani kwa Rostam Aziz, na DP World wakiwemo, hata kama ametoa kauli ya kuwaruka juzi.
8. Wakati tunayafahamu haya yote, tumemwona Rostam Aziz ameketi na Rais Saimia huko Marekani wakisaini mikataba ya siri. Mpaka leo hatujaambiwa wakati sisi ndio wananchi wenye wenye nchi.
9. Haya tunayoyasema hapa, ni habari za wazi sana katika duru za vyombo vya ulinzi na usalama. Tatizo wakubwa kadhaa tayari wametekwa. Jana tuliulizwa kutoa maoni yetu kuhusu dhana kwamba IGP Camillius Wambura aliyewaweka kizuizini kina Dr Slaa anapaswa kujiuzuli. Tunasema hapana. Alitumwa. Kumwadhibu yeye ni sawa na kujaribu kuliua joka kubwa kwa kupiga mkia wake badala ya kugonga kichwa. Tunapaswa kugonga kichwa. Lakini kazi ya kugonga kichwa ni ngumu sana kiasi kwamba kunahitajika detonator kabambe. Ugumu wake uko hivi: Rais Samia amejilundikia "watu wake" kiasi kwamba tatizo la "collective thinking" sasa limezingira "makao." Just imagine the Topmost Three ndani ya "Eagles House" ni Wazanzibari. Rais ni Mzanzibari. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mzanzibari. Asilmia 21 ya ajira za Muungano ni za Wazanzibari. Mbarawa wa IGA Mzanzibari. Hamza Johari wa IGA Mzanzibari. Nchi imetekwa.
10. Kwa ufupi, tunachosema ni kwamba, Rais Mstaafu Kikwete afahamu kuwa yeye ndiye mwasisi wa Timu Rostam na kwamba Timu Rostam ni hatari kwa usalama wa Rais Samia, Usalama wa CCM na kwa usalama wa Taifa kwa ujumla. Ni timu ya watu wanaofanya uhaini wa kiuchumi. Lakini Maaskofu wa TEC sio hatari kwa usalama wa Taifa letu. Kwa leo tunaishia hapo.
Dawati la Mama Amon
"Sumbawanga Town"
Sumbawanga.
View attachment 2723442
View attachment 2723444
Vipengele 1 and 4 kwenye mchanganuo wako vimefanana, lakini cha kushangaza kimoja in «tunu hasi» na kingine ni «tunu chanya». Mama Amon bado unaendeleza mambo yako ya ku plagiarize na kutafsirii siyo? Halafu mifano na hitimisho haviendani na hoja ya udini, usiasa, siasa na dini? Huyo Rostam Aziz anaweza kuwa ni fisadi papa kama unavyodai, lakini anaingiaje kwenye hoja ya udini, usiasa, dini na siasa? Au tuseme, yupo kundi gani? Na maaskofu wa TEC wapo kundi gani? Tupe mifano hai ya watu waliyo kwenye kila kundi (makundi 4 ).View attachment 2723592
Aya ya 19 katika Katiba ya Tanzania (1977) inasomeka kama ifuatavyo:
(1) Kila mtu anastahili kuwa na uhuru wa mawazo, imani na uchaguzi katika mambo ya dini, pamoja na uhuru wa mtu kubadilisha dini au imani yake. (2) Bila ya kuathiri sheria zinazohusika za Jamhuri ya Muungano, kazi ya kutangaza dini, kufanya ibada na kueneza dini itakuwa ni huru na jambo la hiari ya mtu ya binafsi, na shughuli na uendeshaji wa jumuiya za dini zitakuwa nje ya shughuli za mamlaka ya nchi. (3) Kila palipotajwa neno "dini" katika ibara hii ifahamike kwamba maana yake ni pamoja na madhehebu ya dini, na maneno mengineyo yanayofanana au kuambatana na neno hilo nayo yatatafsiriwa kwa maana hiyo.
Katika mipaka ya nukuu hii, tunaunga mkono onyo la Rais Mstaafu, Jakaya KIkwete, kuhusu alichokiita umuhimu wa "tunu ya kutenganisha dini na siasa."
Lakini, kwa jili ya kuboresha aiichokisema, tunapenda kufafanua tofauti kati ya dhana nne zinazohusiana na alichokisema. Yaani dhana ya "dini na siasa," "udini na siasa," "dini na usiasa," na "udini na usiasa." Mchoro ufuatao unazitofautisha vema.
View attachment 2723435
Yaani, kutokana na mchoro huu, kadiri maisha ya kidini na kisiasa yanavyohusika , kuna Watanzania wa aina nne, kama ifuatavyo:
Kwa maoni yetu, basi, Rais Mstaafu KIkwete aliongelea tunu nne zifuatazo: tunu chanya ya "kuchanganya dini na siasa," tunu hasi ya "kuchanganya udini na siasa," tunu hasi ya "kuchanganya dini na usiasa," na tunu hasi ya "kuchanganya udini na usiasa,"
- Watanzania wenye udini na wenye usiasa. Hawa wanatumia dini kama mbinu ya kufanikisha malengo ya kisiasa, na kutumia siasa kama mbinu ya kufanikisha malengo ya kidini. Hii ni tunu hasi.
- Watanzania wenye udini na wasio na usiasa. Hawa wanatumia dini kama mbinu ya kufanikisha malengo ya kisiasa. Hii ni tunu hasi.
- Watanzania wasio na udini na wenye usiasa. Hawa wanatumia siasa kama mbinu ya kufanikisha malengo ya kidini. Hii ni tunu hasi.
- Watanzania wasio na udini na wasio na usiasa. Hawa wanatumia dini kama mbinu ya kufanikisha malengo ya kisiasa, na kutumia siasa kama mbinu ya kufanikisha malengo ya kidini. Hii ni tunu chanya.
Hivyo basi, kwa maoni yetu kuchanganya dini na siasa sio tatizo, maana tunafanya hivyo kila siku, kama picha za KIkwete hapa chini zinavyoonyesha.
Lakini, kuna tatizo katika matatu yaliyo baki. Yaani, tunu hasi zifuatazo: "kuchanganya udini na siasa," "kuchanganya dini na usiasa," na "kuchanganya udini na usiasa."
Hivyo, tunafikiri kwamba, KIkatiba na kisheria, onyo la Rais Mstaafu, Jakaya KIkwete, kuhusu alichokiita "tunu ya kutochanganya dini na siasa," kama likitazamwa katika wigo wa uchambuzi huu, linapaswa kutfsiriwa katika mipaka ifuatayo:
Kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania, hasa ibara ya 19(2), ukuta unaotenganisha maisha ya kidini na maisha ya kisiasa ni kama "semi-permeable membrane," tuliyoisoma kwenye bayolojia ya seli.
Yaani, ni ukuta wenye milango inayoruhusu vitu vilivyoko upande mmoja kupenya na kwenda upande wa pili, lakini inakataza vitu vilivyo upande wa pili kupenya na kuingia upande wa kwanza.
Ukuta wa kikatiba unaotenganisha dini na siasa unayo milango kama hiyo pia. Unawaruhusu watu walioko upande wa dini kusukuma mlango na kuingia upande wa serikali, lakini unawakataza watu walioko upande wa serikali kusukuma mlango na kuingia upande wa dini.
Hivyo, makuhani wanaweza kugombea udiwani, ubunge na urais, kama sheria za makanisa yao haziwakatazi. Mfano mzuri ni Askofu Gwajiboy ambaye ni Mbunge wa Kawe kupitia CCM.
Pia wanaweza kuzikosoa sera za serikali kwa niaba ya waumini wao. Lakini serikali haiwezi kuanzisha dini rasmi ya Taifa wala kuzikosoa sera za ndani ya taasisi za kidini, isipkuwa pale zinapokiuka katika ya nchi.
Mwaka 1973, Profesa Gustavo Gutierez Merino wa Peru, huko Amerika ya Kusini, aliandika kitabu "A Theology of Liberation: History, Politics, and Salvation," kwa ajili ya kufafanua ukweli hii.
Tunaambatanisha kitabu kizima hapa chini baada ya kunukuu baadhi ya kauli zake muhimu kwa Tanzania ya leo hapa chini....
“An essential clue to the understanding of poverty in liberation theology is the distinction, made in the Medellín document 'Poverty of the Church,' between three meanings of the term 'poverty': real poverty as an evil—that is something that God does not want; spiritual poverty, in the sense of a readiness to do God's will; and solidarity with the poor, along with protest against the conditions under which they suffer.”“The denunciation of injustice implies the rejection of the use of Christianity to legitimize the established order.”“In the final analysis, poverty means death: lack of food and housing, the inability to attend properly to health and education needs, the exploitation of workers, permanent unemployment, the lack of respect for one's human dignity, and unjust limitations placed on personal freedom in the areas of self-expression, politics, and religion.”“There are not two histories, one profane and one sacred, 'juxtaposed' or 'closely linked.' Rather there is only one human destiny.”“History is no longer as it was for the Greeks, an anamnesis, a remembrance. It is rather a thrust into the future.”
Kwa hiyo, kuhusu Teolojia ya Ukombozi wa Rasilimali za Watanzania Wanyonge Dhidi ya Waarabu wa Dubai, Tamko la Maaskofu wa TEC juu ya Bandari zetu limegonga penyewe kwa wakati sahihi.
Tusisahau kwamba sababu zilizowasukuma Maaskofu wa TEC kuchukua hatua waliyoichukua ni nyingi kuliko zile walizozitaja kwenye tamko. Mifano ya sababu ambazo hawakuzitaja hizi hapa:
1. Hayati Magufuli alipiga marufuku makinikia kusafirishwa nje ya nchi, lakini leo marufuku hii imefutwa na kampuni ya kina Rostam Azizi inayoitwa Taifa Transport and Logistics Ltd ndiyo inasafirisha makinikia haya kutoka mikaoni hadi bandarini, kuyapakia kwenye meli hadi huko ng'ambo. Makao yake makuu yako Plot No. 77, Kipawa, Kiwalani Industrial Area, Dar es Salaam, Tanzania.
2. Rais Mstaafu KIkwete alimwahidi Rostam kile kiwanja cha Oysterbay, ilikokuwa POlice Officers Mess, kwa kuwa alitaka kuleta Wachina kujenga Supermarket kwa sharti kwamba wapewe Title Deed ya miaka 99. Mapatano yalikuwa kwamba, Rostam ajenga Kwota za Polisi kule Kunduchi, Pale Morocco, na Kuhamisha Kituo cha Polisi cha Oysterbay na kukijenga pale Namanga kilipo sasa. Rostam kafanya haya yote kwa fedha yake ili apate uhalali wa kumilikishwa kiwanja cha Masaki. Ghafla Mwamba JPM akaingia Ikulu kabla Rostam hajakabidhiwa kiwanja hicho. Rostam akaambiwa, chagua moja: ama nikurudishie fedha zako au nikupe kiwanja kule Bagamooyo, lakini sio hapa Masaki. Rostam kwa unyonge akaomba arudishiwe fedha zake, Na Magufuli hadi anakufa aligoma kuzindua zile KJwota za Polisi kwa sababu ya hasira! Zimezinduliwa majuzi wakati wa uongozi wa Rais Samia.
3. Lakini, wakati hayati Magufuli alimnyima Rostam kile kiwanja cha Oysterbay, ilikokuwa POlice Officers Mess, kwa kuwa alitaka kuleta Wachina kujenga Supermarket kwa sharti kwamba wapewe Title Deed ya miaka 99, leo tunataka kutoa bandari zote 88 kwa miaka zaidi ya 99.
4. Wakati hayati Magufuli alikataa wazo la kuhamisha kituo cha Polisi cha Oysterbay hadi Namanga, japo akawa amechelewa, na hilo likatokea chini ya awamu ya Kikwete; alichukua hatua za haraka kuzuia michakato iliyokuwa ifuate. Alifanya hivyo mara tu baada ya kuingia ofisini. Leo Samia anataka kuhamisha Chuo cha Polisi cha Kigamboni na kukipeleka anakokujua yeye, ili KIgamboni awakabidhi Waarabu wa Dubai kwa miaka zaidi ya 99. Watalipa fidia kama Rostam alivyotaka kufanya wakati anahamisha kituo cha Polisi cha Oysterbay kutoka kule ufukweni hadi pale Namanga.
5. Mdogo wake Rostam, aitwaye Akram Aziz, alishtakiwa na kupokonywa bunduki 56 alizokuwa anamiliki kiharamu kwa ajili ya ujangili, lakini sasa amerudishiwa silaha hizo, na ujangili ni business as usual.
6. Akram Aziz aliposhtakiwa mwaka 2018 Mahakama ilitaka afungwe na kulipa faini kwa pamoja, lakni Nchimbi wakati huo akiwa waziri wa Mambo ya Ndani akacheza muziki wake adhabu ikawa either/or scenario. Zawadi yake ilikuwa ni bonge la "kitu" kule Boko. Sasa Nchimbi amerudishwa nchini, huenda, kwa ajili ya kuimarisha Timu Rostam.
7. Hakuna mwekezaji wa kigeni anayekanyaga Tanzania bila kwanza kwenda KUHIJI NA KUSUJUDU nyumbani kwa Rostam Aziz, na DP World wakiwemo, hata kama ametoa kauli ya kuwaruka juzi.
8. Wakati tunayafahamu haya yote, tumemwona Rostam Aziz ameketi na Rais Saimia huko Marekani wakisaini mikataba ya siri. Mpaka leo hatujaambiwa wakati sisi ndio wananchi wenye wenye nchi.
9. Haya tunayoyasema hapa, ni habari za wazi sana katika duru za vyombo vya ulinzi na usalama. Tatizo wakubwa kadhaa tayari wametekwa. Jana tuliulizwa kutoa maoni yetu kuhusu dhana kwamba IGP Camillius Wambura aliyewaweka kizuizini kina Dr Slaa anapaswa kujiuzuli. Tunasema hapana. Alitumwa. Kumwadhibu yeye ni sawa na kujaribu kuliua joka kubwa kwa kupiga mkia wake badala ya kugonga kichwa. Tunapaswa kugonga kichwa. Lakini kazi ya kugonga kichwa ni ngumu sana kiasi kwamba kunahitajika detonator kabambe. Ugumu wake uko hivi: Rais Samia amejilundikia "watu wake" kiasi kwamba tatizo la "collective thinking" sasa limezingira "makao." Just imagine the Topmost Three ndani ya "Eagles House" ni Wazanzibari. Rais ni Mzanzibari. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mzanzibari. Asilmia 21 ya ajira za Muungano ni za Wazanzibari. Mbarawa wa IGA Mzanzibari. Hamza Johari wa IGA Mzanzibari. Nchi imetekwa.
10. Kwa ufupi, tunachosema ni kwamba, Rais Mstaafu Kikwete afahamu kuwa yeye ndiye mwasisi wa Timu Rostam na kwamba Timu Rostam ni hatari kwa usalama wa Rais Samia, Usalama wa CCM na kwa usalama wa Taifa kwa ujumla. Ni timu ya watu wanaofanya uhaini wa kiuchumi. Lakini Maaskofu wa TEC sio hatari kwa usalama wa Taifa letu. Kwa leo tunaishia hapo.
Dawati la Mama Amon
"Sumbawanga Town"
Sumbawanga.
View attachment 2723442
View attachment 2723444
Vipengele 1 and 4 kwenye mchanganuo wako vimefanana, lakini cha kushangaza kimoja in «tunu hasi» na kingine ni «tunu chanya». Mama Amon bado unaendeleza mambo yako ya ku plagiarize na kukutafsiria, siyo? Halafu mifano na hitimisho haviendani na hoja ya udini, usiasa, siasa na dini? Huyo Rostam Aziz anaweza kuwa ni fisadi papa kama unavyodai, lakini anaingiaje kwenye hoja ya udini, usiasa, dini na siasa?
1. Watanzania wenye udini na wenye usiasa. Hawa wanatumia dini kama mbinu ya kufanikisha malengo ya kisiasa, na kutumia siasa kama mbinu ya kufanikisha malengo ya kidini. Hii ni tunu hasi.