Terehe 14 Disemba, 2021, DPP atawasilisha Nolle kesi ya akina Mbowe?

Ngoja inyeshe tuone inapovuja...ndo nimejua kumbe jeshi nao ni miyeyusho sana wenzao wametekwa wameteswa lakin wamekaa kimya tu. Huyu komando mwingine wa Tabora, amefukuzwa kazi, mwaka sasa umepita hajapewa stahiki zake. Wakati ameondoka kwasababu ya ugonjwa. SHAME ON YOU!
 
Huyo mganga wako kakuibia
 
👂👂👂👂👂
Lakini chama chenu kinacho jinasibu ni cha wakulima na wafanyakazi wakiona haya yanayotendeka wanafurahi sana ehhhh......

Nchi hiii ukiwa mpinzani basi unapoteza haki zako zote ikiwemo haki ya kuishi, haki ya kujumuika, haki ya kuandamana etc
 
Nilisha sema siku nyingi kua HAKUNA KESI HAPO, bali kuna kufuja kodi zetu sisi Wananchi.
 
Katiba si kwa sjili ya ya watz wote, wspo wanaofaidi hali hii kwao katiba mpya utakuwa mwiba, tupo tunaohitaji katiba mpya ili itulinde kuyokana na manyanyaso, hapo ndipo mfarakano unapoanzia.
 
Mdogomdogo blaza...

Hii kesi itatupa vingi...

Mathalani hivi sasa nishakuwa wakili mzuri kuliko mawakili wote wa serikali...

Nasubiria Komandoo Urio apandishwe kizimbani ili ni-graduate kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wao kazi yao ni kupiga pesa wala hakuna mtu anatetea maslahi ya nchi ni maigizo tupu
INAUMIZA HUKU TUNAKATWA MATOZO KWENYE MIAMALA, TUNAKOPA DENI LA NCHI LINAONGEZEKA KWA KUKOPAKOPA KILA LEO,DENI SASA KWENDA MATRILIONI.....PESA ZINYEWE MAENDELEO KIDOGO ILA KWENYE VITUKO NDIO BALAA.....HALAFU KIKUNDI VIKUNDI FULANI VINAKULA PESA ZA WANANCHI KWA JEURI NA BASHASHA NYINGI NA WATAWALA WANAIDHINISHA KUONA WATANZANIA WAJINGA....WAO NDIO WENYEWE
 
Lakini chama chenu kinacho jinasibu ni cha wakulima na wafanyakazi wakiona haya yanayotendeka wanafurahi sana ehhhh......

Nchi hiii ukiwa mpinzani basi unapoteza haki zako zote ikiwemo haki ya kuishi, haki ya kujumuika, haki ya kuandamana etc

Mimi sio mwanasiasa na sio mwanachama wa chama chochote cha siasa, ila nina imani yangu binafsi kwenye mambo yahusuyo nchi yangu kwa kwa ujumla wake

Chama kina wenyewe ila serikali ni ya kwetu sote Bujibuji Simba Nyanaume na serikali inaongozwa na chama kilichoshika dola


Kama CCM waliavyomvua Lowasa gamba akavaa gwanda kama kuna konakona kwenye hiyo kesi kuna watu wanaenda kuvuliwa gamba soon


Cc Ng'wale
 
Tatizo la nchi yetu ni matumizi makubwa ya watawala na siyo kingine
 
Hakika umenena ukweli wako ulio moyoni mwako. Kuna watu wameshikilia habari za kwamba Mbowe ni gaidi. Ngoja tuone mafuta yakijitenga na maji.
 
Hawa makomandoo wa JWTZ wameteswa sana aisee, mateso makali kudhalilishaji wa ubinadamu wao, hata JWTZ wenzao wasifurahie kitendo hiki kabisa kabisa.

Hii kesi ifutwe tu, maana inaleta simanzi kubwa miongoni mwa watanzania.
Haifutwi mkuu subiri Gaidi Mbowe aendelee kunyea debe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…