Halafu ukiangalia ni kikundi cha watu wachache sana walikuwa wana fanya huu unyama, ukitaja Arusha ni Kingai, Mahita, Msemwa,... Ukienda Moshi hao hao, ukienda Tabora wale wale, ukienda Mwanza. Wale wale. Kwanini iwe hivyo? Kwamba hakuna maaskari wengine? Hawa wanatakiwa wakamatwe waelezi walitumwa na nani kufanya huu uhuni. Sio Nolle tuuMgodi sawa ila itakua jambo la busara kutumia akili kuona athari iliyopo mbele yao wasipochukua hatua sahihi. Kuna madhara makubwa sana kwao na kwa serikali.
Wala sio Mganga - labda useme tu mtaogopa kwenda kumwona DPP!Huyo mganga wako kakuibia
Maharamia - tehe tehe tehe!siyo rahisi haya maharamia
Hatari snMaharamia - tehe tehe tehe!
Saaaana yaaani! Kwenye kesi ndogo - Utafikiri akina Kibatala ndiyo Mawakili wa Mashtaka yenyewe ndiyo Mawakili ya Utetezi!Hatari sn
Tuombe MUNGUSaaaana yaaani! Kwenye kesi ndogo - Utafikiri akina Kibatala ndiyo Mawakili wa Mashtaka yenyewe ndiyo Mawakili ya Utetezi!
Nyie endeleeni tu kuwapa matumaini ya uongo wafuasi wenu. Serikali wana ushahidi wa ugaidi. Ujanjaujanja wa kiwakili hauwezi kuepusha kesi kuendelea hadi hukumu.
Anaongea tu ilmradi yamemtoka!Ushahidi unaoonyesha watuhumiwa walikua point-A wakati walikua point-C.?
Ujue kuongea nakukumbuka ukweli ni rahisi sana,
Kukumbuka Uongo ni kazi sana.
🌍
🇹🇿
✌🏼
Umeanza kuuona ukweli.
Hakika umenena ukweli wako ulio moyoni mwako. Kuna watu wameshikilia habari za kwamba Mbowe ni gaidi. Ngoja tuone mafuta yakijitenga na maji.
Upo sahihi kabisa mkuuMbowe aachiliwen arudi Dubai akaendelee na biashara zake za kitajiri
Issue za katiba mpya na kuwapiganua mang'ombe yasiyoweza hata kuandamana hata kama yameingiziwa mikunyange matakoni
Kuteswa tu wamesaidiwa. Kwa mujibu wa kazi yao na tuhuma zao adhabu yao ilikuwa ni kifo.Hawa makomandoo wa JWTZ wameteswa sana aisee, mateso makali kudhalilishaji wa ubinadamu wao, hata JWTZ wenzao wasifurahie kitendo hiki kabisa kabisa.
Hii kesi ifutwe tu, maana inaleta simanzi kubwa miongoni mwa watanzania.
Halafu ukiangalia ni kikundi cha watu wachache sana walikuwa wana fanya huu unyama, ukitaja Arusha ni Kingai, Mahita, Msemwa,... Ukienda Moshi hao hao, ukienda Tabora wale wale, ukienda Mwanza. Wale wale. Kwanini iwe hivyo? Kwamba hakuna maaskari wengine? Hawa wanatakiwa wakamatwe waelezi walitumwa na nani kufanya huu uhuni. Sio Nolle tuu
Ila sidhani kama watapewa ulinzi maisha yao yote. Siku ulinzi ukiwa loose, hata kama Kingai, minja, mahita, tiganga, mawakili wa serikali watakuwa na miaka 100, ni kuwafumua marinda tu hakuna namna. Wamejeruhi sana myoyo ya watu.Nafikiri familia zao zitakua na ulinzi mkali sana sasa hivi. Hata jaji na mawakili wa mashtaka, bila kusahau mashahidi wao.
Hii kesi imewaanika vibaya sana uovu wao.
Ila sidhani kama watapewa ulinzi maisha yao yote. Siku ulinzi ukiwa loose, hata kama Kingai, minja, mahita, tiganga, mawakili wa serikali watakuwa na miaka 100, ni kuwafumua marinda tu hakuna namna. Wamejeruhi sana myoyo ya watu.
Kwani wakubwa wao ambao hawapo mgoni hawaoni kwamba mgoni ni mtupuHiyo ni ndoto maana kila siku wanalipwa 120000 nje na mishahara yao mpaka kesi itakapo isha baada ya miaka 3, huo ni mgodi unaotembea mkuu
Da hatari snKwani wakubwa wao ambao hawapo mgoni hawaoni kwamba mgoni ni mtupu
TwausubiriNyie endeleeni tu kuwapa matumaini ya uongo wafuasi wenu. Serikali wana ushahidi wa ugaidi. Ujanjaujanja wa kiwakili hauwezi kuepusha kesi kuendelea hadi hukumu.
Nyie endeleeni tu kuwapa matumaini ya uongo wafuasi wenu. Serikali wana ushahidi wa ugaidi. Ujanjaujanja wa kiwakili hauwezi kuepusha kesi kuendelea hadi hukumu.