Termination on fixed contract/ kufungua shauri CMA kwa mwajiriwa mwenye mkataba wa muda maalum

Termination on fixed contract/ kufungua shauri CMA kwa mwajiriwa mwenye mkataba wa muda maalum

jeremiamnzava

Member
Joined
Jul 10, 2024
Posts
20
Reaction score
24
Habari za leo wadau na wajuzi wa sheria

Naomba msaada wako wa kisheria
Ikiwa nimeachichwa kazi isivyo halali nilikua na mkataba wa mwaka moja
Ambapo ulianza mwaka jana,
Nimeachishwa kazi mwaka huu kabla ya miezi 4 ya mkataba wangu kuisha na sababu zilizotolewa sio sahihi na procedures hazikufuatwa
Naomba kujua nikifungua shauri CMA
Kwenye form 1 nature of dispute nitachagua termination of employment kuclaim unfair termination au nita tick kwenye breech of contract?
Au nitatick vyote viwili vya unfair termination na breech of contract?

Ikiwa ni breech of contract or unfair termination naweza kuweka madai mengine kama overtime na general damage/psychological distress?
Pia ikiwa breech of contract inamana part b ya CMA form 1 sitojaza?

🙏🙏
 
Back
Top Bottom