AlP0L0
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 6,406
- 4,899
Kha! Hayo wameyaomba, waambie walie kimyakimya. Majeshi yao yanafanyanini Somalia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana nilikujibu hali ya usalama hapa nchi haipo hivi kwa bahati tu bali sera za nchi na vyombo vya usalama. Kama Wakenya hawakufanya tadhimini za.kutosha kuhusu madhara ya kuingia Somalia basi sasa wanaona matokeo yake.boss,kenya wanapigwa sababu al shabab wanataka waondoe majeshi yao somalia,Uganda nao walichapwa mabomu ya kutosha kampala wakaondoa majeshi leo hakuna mashambulizi,hivi nikupe mfano,angalia tamasha kama fiesta au mechi ya mpira uwanjani ushaona metal detectors zinazoweza kugundua kama mtu kaweka bomu heavy kwenye buti ya gari?unajua ni rahisi kiasi gani kufanya shambulizi la hivyo?wana attack hivyo wanaua mamia ya watu wanasepa,hujui hata base yao,hawana ma tank wala chochote,ni hatari mno,tusiombee .london,paris,berlin,boston washapigwa sanaa mashambulizi ya aina hii,tusipende kujisifu sana kupitiliza jamani,atleast hapa wa kumshukuru ni kikwete aliombwa na UN apeleke majeshi somalia akakataa leo pasingekuwa panakalika hapa nakuhakkishia,hata ukileta wanajeshi macommando wenzako wale hawaoni tabu kujilipua na mabomu kumaliza kabisa
You prayer?🇹🇿🙏🇰🇪I prayer for KENYA🇰🇪🙏🇹🇿...
🙏🇹🇿🇰🇪🇹🇿🙏 I prayer for KENYA
You prayer?
DuhHao hapo.. Waone
Poleni sana watani zetu. Hivi ule ukuta mliojenga katika mpaka wa Somalia haujamalizika?, au ndio yale yale ya "Nothing works in a failed state".Leo unssherekea wapi Hii habari? 😀😀
Halafu huyu Ng'eno nadhani ni yule MP aliyefunga Ndoa Mwaka jana.
Sawa poleni sanaKuna video yake ilionyeshwa subiri nikiipata nitaileta. Asili ya kiarabu...
Yaani mtu awe mweusi halafu umuite mweupe kwa ajili tu wewe umetaka.Ondoeni neno Ugaidi jamani kwanini msiseme ni majambazi tu