Terrorist attack at Riverside, Nairobi-Kenya: All attackers eliminated and atleast 21 people are dead. Al-Shabab claimed responsibility for the attack

Terrorist attack at Riverside, Nairobi-Kenya: All attackers eliminated and atleast 21 people are dead. Al-Shabab claimed responsibility for the attack

View attachment 995287

Milipuko na milio ya risasi yasikika katika eneo la 14 Riverside, Nairobi kunakopatikana hoteli ya DusitD2.

Milipuko miwili mikubwa ya risasi ilisikika na baadaye ufyatuaji wa risasi.

Watu kadha wamejeruhiwa na wanahudumiwa na maafisa wa Shirika la Msalaba Mwekundu wakisaidia na watu wengine wa kujitolea.

Mmoja wa majeruhi amesafirishwa kupelekwa hospitalini.

Maafisa wa polisi wamefika eneo hilo, katika jumba hilo ambalo lina hoteli yakifahari na afisi za kampuni mbalimbali.


View attachment 995288
View attachment 995289
View attachment 995290

Baadhi ya watu waliokwama kwenye vyumba vya jumba hilo wamekuwa wakiandika ujumbe kwenye mitandao wa kijamii wakieleza kwamba wamekwama, au kujificha.

Mkuu wa polisi wa uchunguzi wa jinai Bw George Kinoti ni miongoni mwa maafisa wakuu wa polisi waliofika kuratibu operesheni ya kuokoa watu waliokwama ndani.
======

Two explosions and gunfire were heard at an upscale hotel and office complex in Kenya's capital on Wednesday afternoon, said a woman working in a neighbouring building.

"We are under attack," another person in an office inside a complex in the Dusit hotel told the Reuters news agency, then hung up. Local television showed smoke rising from the area.

The Nairobi police commander Philip Ndolo said they had cordoned off the area around Riverside Drive due to a suspected robbery.

Flames and plumes of black smoke billowed into the sky from the parking lot of the compound where several vehicles were on fire, with scores of people fleeing the compound, some of them lightly injured.

Somalia-based armed group al-Shabab claimed responsibility for the attack.

"We are currently conducting an operation in Nairobi." the group's military operations spokesman told Al Jazeera.

The scenes in the Westlands suburb reminded Nairobians of a bloody attack in 2013 by the group when its fighters stormed the Westgate mall, killing at least 67 people.

The country faced a spate of attacks after it sent its army into Somalia in October 2011 to fight the al-Qaeda-linked group.

On April 2, 2015, another al-Shabab attack killed 148 people at the university in Garissa, eastern Kenya.
Kamanda wa polisi hapo juu anasema ni ujambazi wa kutumia silaha, waandishi wanasema shambulio la kigaidi!

Tufate kauli ya nani hapo?
 
Taarifa za hivi punde kutoka kwa mkuu wa polisi ni kwamba makomando wamepambana na hao magaidi hadi kwenye orofa ya saba ambayo ndio ya mwisho iliyosalia, hapo ndio uwanja wa mapambano uliopo kwa sasa.
Kufikia sasa taarifa rasmi zinasema gaidi mmoja amekamatwa, na pia imeripotiwa kifo cha mtu mmoja na majeruhi sita.
-----------------------------------------------------

Inspector General of Police Joseph Boinnet has said that special security forces responding to suspected terrorist attack at dusitD2 Hotel in Westlands, Nairobi, have secured 6 out of 7 floors in the building.
Boinnet has however warned the public against sharing graphic images not acquired from the scene of the attack, arguing that attackers would take advantage such acts.


He has urged the public to flag such images but direct any useful information to the DCI in number or report to nearest police station.
The attack
The IG has said that the first attack was near the I &M Bank which targeted three vehicles at the parking lot, and the second was a suicide explosion which happened at the entrance of the hotel.


He has confirmed that the security operations are still ongoing at the dusitD2 Hotel, Riverside Drive, Nairobi, where blast and gunshots were witnessed at 3.45 pm.


International media have linked the attack to terrorist group Al-Shabaab. However, the police are yet to confirm if the milintants may have perpetrated the attack.


The attack, which is believed to be a terrorist act left many people injured with victims being rushed to MP Shah, Avenue and Aga Khan hospitals.


One victim has succumbed to the injuries while undergoing treatment at MP Shah Hospital. Reports on number of those injured and deaths are still unclear as operations are still ongoing.
Boinnet has urged Kenyans to be patient and vigilant and to follow the instructions of the security team as rescue operations are still ongoing.
Kenya Defence Forces, GSU and elite security team Recce Squad are currently conducting security operations. IG Boinnet has said that they believe that many armed crminals who perpetrated the attack are still in the dusitD2 Hotel complex.


“We are aware that armed criminals are holding up in the hotel and specialist forces are now currently flushing them out,” said Boinnet.
He has said that they are in the process of getting the numbers of those affected in the attack.

IG Boinnet: 6 out of 7 floors secured : The Standard
 
Napenda niwasahuri wakenya kuwa makini na hao magaidi. Wameshachanganyikana na wateja wa eneo hilo. Wanachoweza kufanya ni kutega milipuko sehemu nyingine na kujificha sehemu nyingine hivyo mtawaokoa bila ninyi kujua. Hii huwa inawatesa sana intelligensia ya kenya katika kutambua nani ni gaidi na nani si gaidi. Poleni sana majirani zetu.
Na mpaka sasa imeripotiwa kuwa 6 floors out of 7 have been secured na hakuna hata dalili ya kukamatwa au kushukiwa kwa mtu yeyote kuwa ni gaidi. Watakuwa wamejichanganya na watu wengine au wako kwenye hiyo 7th floor.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
boss,kenya wanapigwa sababu al shabab wanataka waondoe majeshi yao somalia,Uganda nao walichapwa mabomu ya kutosha kampala wakaondoa majeshi leo hakuna mashambulizi,hivi nikupe mfano,angalia tamasha kama fiesta au mechi ya mpira uwanjani ushaona metal detectors zinazoweza kugundua kama mtu kaweka bomu heavy kwenye buti ya gari?unajua ni rahisi kiasi gani kufanya shambulizi la hivyo?wana attack hivyo wanaua mamia ya watu wanasepa,hujui hata base yao,hawana ma tank wala chochote,ni hatari mno,tusiombee .london,paris,berlin,boston washapigwa sanaa mashambulizi ya aina hii,tusipende kujisifu sana kupitiliza jamani,atleast hapa wa kumshukuru ni kikwete aliombwa na UN apeleke majeshi somalia akakataa leo pasingekuwa panakalika hapa nakuhakkishia,hata ukileta wanajeshi macommando wenzako wale hawaoni tabu kujilipua na mabomu kumaliza kabisa
Kamaa Kenya wanatetemeshwa hivi sisi sidhani kama tungewaweza jamaa ni hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom