Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kabisaaa walahi....Jana kuna mtu alikuwa anakuulizia humu walahiDuh
Kenya imekwisha kabisa walahi
Kamanda wa polisi hapo juu anasema ni ujambazi wa kutumia silaha, waandishi wanasema shambulio la kigaidi!View attachment 995287
Milipuko na milio ya risasi yasikika katika eneo la 14 Riverside, Nairobi kunakopatikana hoteli ya DusitD2.
Milipuko miwili mikubwa ya risasi ilisikika na baadaye ufyatuaji wa risasi.
Watu kadha wamejeruhiwa na wanahudumiwa na maafisa wa Shirika la Msalaba Mwekundu wakisaidia na watu wengine wa kujitolea.
Mmoja wa majeruhi amesafirishwa kupelekwa hospitalini.
Maafisa wa polisi wamefika eneo hilo, katika jumba hilo ambalo lina hoteli yakifahari na afisi za kampuni mbalimbali.
View attachment 995288
View attachment 995289
View attachment 995290
Baadhi ya watu waliokwama kwenye vyumba vya jumba hilo wamekuwa wakiandika ujumbe kwenye mitandao wa kijamii wakieleza kwamba wamekwama, au kujificha.
Mkuu wa polisi wa uchunguzi wa jinai Bw George Kinoti ni miongoni mwa maafisa wakuu wa polisi waliofika kuratibu operesheni ya kuokoa watu waliokwama ndani.
======
Two explosions and gunfire were heard at an upscale hotel and office complex in Kenya's capital on Wednesday afternoon, said a woman working in a neighbouring building.
"We are under attack," another person in an office inside a complex in the Dusit hotel told the Reuters news agency, then hung up. Local television showed smoke rising from the area.
The Nairobi police commander Philip Ndolo said they had cordoned off the area around Riverside Drive due to a suspected robbery.
Flames and plumes of black smoke billowed into the sky from the parking lot of the compound where several vehicles were on fire, with scores of people fleeing the compound, some of them lightly injured.
Somalia-based armed group al-Shabab claimed responsibility for the attack.
"We are currently conducting an operation in Nairobi." the group's military operations spokesman told Al Jazeera.
The scenes in the Westlands suburb reminded Nairobians of a bloody attack in 2013 by the group when its fighters stormed the Westgate mall, killing at least 67 people.
The country faced a spate of attacks after it sent its army into Somalia in October 2011 to fight the al-Qaeda-linked group.
On April 2, 2015, another al-Shabab attack killed 148 people at the university in Garissa, eastern Kenya.
Pia si walisema na Tanzania pia sio Kenya tuUS waliwapa tahadhari majuzi inawezekana wao ndio wamefanya hilo shambulio kwa kichaka cha alshabab ili wafanikishe lengo flani...wazungu sio watu wazuri wajameni
Duuh, wallahi.kabisaaa walahi....Jana kuna mtu alikuwa anakuulizia humu walahi
Na mpaka sasa imeripotiwa kuwa 6 floors out of 7 have been secured na hakuna hata dalili ya kukamatwa au kushukiwa kwa mtu yeyote kuwa ni gaidi. Watakuwa wamejichanganya na watu wengine au wako kwenye hiyo 7th floor.Napenda niwasahuri wakenya kuwa makini na hao magaidi. Wameshachanganyikana na wateja wa eneo hilo. Wanachoweza kufanya ni kutega milipuko sehemu nyingine na kujificha sehemu nyingine hivyo mtawaokoa bila ninyi kujua. Hii huwa inawatesa sana intelligensia ya kenya katika kutambua nani ni gaidi na nani si gaidi. Poleni sana majirani zetu.
Sema wewe hujui, all terrorist in westgate were killedIle ya westgate mpaka leo magaidi hawajulikani, halafu zile za polisi kuiba kwenye supermarket, mwisho wa siku hata hawakuwakamata magaidi. Kenya matukio haya huwa yanawaacha hoi. Intelligence zero.
mh labda garissa mkuu, wale wa west gate walisepa.
Kamaa Kenya wanatetemeshwa hivi sisi sidhani kama tungewaweza jamaa ni hatari sanaboss,kenya wanapigwa sababu al shabab wanataka waondoe majeshi yao somalia,Uganda nao walichapwa mabomu ya kutosha kampala wakaondoa majeshi leo hakuna mashambulizi,hivi nikupe mfano,angalia tamasha kama fiesta au mechi ya mpira uwanjani ushaona metal detectors zinazoweza kugundua kama mtu kaweka bomu heavy kwenye buti ya gari?unajua ni rahisi kiasi gani kufanya shambulizi la hivyo?wana attack hivyo wanaua mamia ya watu wanasepa,hujui hata base yao,hawana ma tank wala chochote,ni hatari mno,tusiombee .london,paris,berlin,boston washapigwa sanaa mashambulizi ya aina hii,tusipende kujisifu sana kupitiliza jamani,atleast hapa wa kumshukuru ni kikwete aliombwa na UN apeleke majeshi somalia akakataa leo pasingekuwa panakalika hapa nakuhakkishia,hata ukileta wanajeshi macommando wenzako wale hawaoni tabu kujilipua na mabomu kumaliza kabisa