rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Yanii mashehe walikuwa wanatwangaa balaaa.. Ukiachaa yale madevuu mengi afu wanaona hawakuelewiii duuh kazi unayooHaha ni hatari mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanii mashehe walikuwa wanatwangaa balaaa.. Ukiachaa yale madevuu mengi afu wanaona hawakuelewiii duuh kazi unayooHaha ni hatari mkuu
Kua na nidhamu japo kidogo mkuu,unaposikia mjeda ypo tayari kufa kwa ajili yako ina maana nyingi,jiongeze tu utajua kwa nini anatumia mwili wa mjeda km kingaHuyu mwanaume anajificha nyuma ya askari anazidiwa hata na kina dadaView attachment 995442
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mkuu hata ndevu zenyewe sikua nazo, ila ilikua ni kipindi cha sakata lenyewe la kibiti, kwahiyo walikua wanamshitukia kila mtu hahaYanii mashehe walikuwa wanatwangaa balaaa.. Ukiachaa yale madevuu mengi afu wanaona hawakuelewiii duuh kazi unayoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Naam sio watalii tu " hata wawekezaji " .... watanzania tungekuwa na akili tungeitumia hiyo chance kulinufaisha taifa letu " tungefika mbali kweli "Tayari Kenya sio nchi salama tena kwa watalii.
Aisee hapo sawaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pole sana mkuu maana ungepata tabu sanaaHahaha mkuu hata ndevu zenyewe sikua nazo, ila ilikua ni kipindi cha sakata lenyewe la kibiti, kwahiyo walikua wanamshitukia kila mtu haha
Teh teh kazi ya upolisi ni ngumu mkuu.Askari wa kenya wale wenye makoti ya jeshi na suruali ya kijani ni waoga balaa
Nmeona walipokuwa wanaingia yani hawaelewekiTeh teh kazi ya upolisi ni ngumu mkuu.
Haha asante mkuu.Aisee hapo sawaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pole sana mkuu maana ungepata tabu sanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wangekuwa na raisi kama wa tz AL SHA JIWE yasingewakuta na Leo all sha jiwe atakuwa anadukua simu ya KenyattaIntellegencia ya kenya bado ipo toooo weak!!!!!!
Hapana unamaanisha River Road, ni mbali