Hiki ndo kilifanyika kwenye shambukizi LA westgate, nilifuatilia sana hiki Kisa lakini nilishangaa sana, washambuliaji, kuna mmoja wapo baada ya kushambulia alitandika muswala akasali humo humo alimokuwa anashambulia alafu wengine walibadirisha mavazi haraka wakajichanganya kwa RAIA wakatoka nje kama kawaida, kilicho nisikitisha kuna mama mmoja alimkariri mshambuliaji mmoja ambaye tayari alikuwa ameshabadiri mavazi yule mama alimkomalia yule mshambuliaji kwa kumsontea kwa mapolisi lakini mapolisi hawakushughulia naye hadi yule jamaa akatokomea na kujichanganya kwa RAIA. Hawa magaida wapuuzi sana