Terrorist attack at Riverside, Nairobi-Kenya: All attackers eliminated and atleast 21 people are dead. Al-Shabab claimed responsibility for the attack

Terrorist attack at Riverside, Nairobi-Kenya: All attackers eliminated and atleast 21 people are dead. Al-Shabab claimed responsibility for the attack

Magaidi kwa muda huu wameteka hoteli ya Kifahari ya DusitB iliyopo mtaa wa 14 Riverside Drive, Westlands jijini Nairobi. Al Shabab tayari wamedai kuhusika na tukio hilo huku idadi ya vifo na majeruhi bado haijafahamika
 
Hahahahaha

Anaekwambia Hakuna Amani ni akina Yericko Nyerere Tena Muda huo katoka kushiba ugali Na Matembele Yupo Tumbo wazi anachokonoa Meno kuondoa mabaki ya maharage Kwenye Meno kashika ki techno chake anabwabwaja tu
Daah!We jamaa una madharau aisee!Halafu ukute huo utajiri uluioina kama unao, umeupata kwa ulaghai na wizi wa mali za umma!

cc Yericko Nyerere
 
Poleni sana Ndugu zetu wa Kenya. Mungu awape wepesi familia, ndugu na jamaa za watu waliokumbwa na mkasa huu katika kipindi hiki kigumu
 
Tukio lime
Magaidi kwa muda huu wameteka hoteli ya Kifahari ya DusitB iliyopo mtaa wa 14 Riverside Drive, Westlands jijini Nairobi. Al Shabab tayari wamedai kuhusika na tukio hilo huku idadi ya vifo na majeruhi bado haijafahamika
Tukio limetokea muda saa tisa leo. Magaidi bado ndani.
 
Ni tukio baya sana.ukiwa na fikra ndogo na kukosa exposure ya nchi mbalimbali utaona hilo limewapata Kenya tu.kumbe hata watanzania wamo.leo wasiwauwe magaidi.wawakamate ili wasaidie mambo mengi yatakayosaidia kutokomeza ugaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KATIKA JAMBO LA MAANA ALILOFANYA KIKWETE NI KUKATAA KUPELEKA MAJESHI SOMALIA LA SIVYO AL SHABAB WANGEKUWA WAGENI WETU KILA MARA.MUSEVENI YEYE ALIKIMBIA HUKO BORA KENYATA AONDOE MAJESHI SOMALIA.
 
Back
Top Bottom