tinetini
Member
- Oct 15, 2018
- 72
- 45
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namwambia kaza hivyo hivyo mpaka watu wanyooke
badala yake wamesema tz ndio itashambuliwa. Angalieni Askari wenyu wanavyoaohmgelea eneo la yukio.Ndugu zangu wakenya msimwanini kila rafiki, wachunguzeni wa marekani wanawaramba kisogo
NB: taarifa ya kushambuliwa kwenu walikua nayo ila cha ajabu hawakuwaambia itakua wapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Did they come with the Detector? ! How safe was it ?The Bomb squad has safely detonated the explosive that was remaining in the 2nd car...
Hataribadala yake wamesema tz ndio itashambuliwa. Angalieni Askari wenyu wanavyoaohmgelea eneo la yukio.
Hiki ndo kilifanyika kwenye shambukizi LA westgate, nilifuatilia sana hiki Kisa lakini nilishangaa sana, washambuliaji, kuna mmoja wapo baada ya kushambulia alitandika muswala akasali humo humo alimokuwa anashambulia alafu wengine walibadirisha mavazi haraka wakajichanganya kwa RAIA wakatoka nje kama kawaida, kilicho nisikitisha kuna mama mmoja alimkariri mshambuliaji mmoja ambaye tayari alikuwa ameshabadiri mavazi yule mama alimkomalia yule mshambuliaji kwa kumsontea kwa mapolisi lakini mapolisi hawakushughulia naye hadi yule jamaa akatokomea na kujichanganya kwa RAIA. Hawa magaida wapuuzi sanaUtaona mwisho wake
Jamaa wanaweza toka ndani vizuri kama Raia
Kuna mpaka troops za Royal forces kutoka UK lakini bado alshabebi anagawa kisago kama kawa, kwa kweli ukichanganya na wakora inakua ni balaa tupu kwa sisi watalii wa kimataifa wenye matumizi makubwa in terms of dollars.Ila mjipe imani Marekani Imejenga Kambi Kenya hahaha
Watu wasichojua zile taarifa zinatoka kwa agent wa nchi huska ambao wameajiriwa na Marekani. Kwa maneno mengine kuna Watanzania wameajiriwa na US kuchunguza wananchi wenzao.