Terrorist attack at Riverside, Nairobi-Kenya: All attackers eliminated and atleast 21 people are dead. Al-Shabab claimed responsibility for the attack

mmarekani alivyo mnafiki, alitoa travel warning kwa tanzania akasahau kutoa travel warning kwa kenya. matokeo yake leo imechapwa na terrorists.

MK254 was very happy that day when this news came out.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

 
Ndiyo maana nilikujibu hali ya usalama hapa nchi haipo hivi kwa bahati tu bali sera za nchi na vyombo vya usalama. Kama Wakenya hawakufanya tadhimini za.kutosha kuhusu madhara ya kuingia Somalia basi sasa wanaona matokeo yake.
 
Msije mkawa mmekamatana wenyewe kwa wenyewe humo ndani maana kunavikosi mchanganyiko kama kachumbali ya kihindi
 
Kufuatia shambulio la kigaidi lililotokea nchini kenya jijini Nairobi la mlipuko wa mabomu na kufyatuliwa kwa risasi katika hoteli ya kifahari iliyoko mtaa wa Riverside, kundi la kigaidi la Al-shabab wamekiri kuhusika katika shambulio hilo.

Fuatilia habari hii kwa kina katika link hii Al-Shabab wakiri kuhusika shambulio la kigaidi Nairobi. - Habari Mtaa
 

Attachments

  • Dw9GxkvX0AA2s22.jpg
    96.8 KB · Views: 39
POLENI SANA NDUGU ZETU WAKENYA,MAOMBI YETU TUMEELEKEZA KWENU WALIOJELUHIWA WAPONE HARAKA.
 
HIVI HAWA MAGAIDI HUWA NI DINI GANI???AU HAWANA DINI HAWA MANAKE HAWANA HURUMA KABISA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…