Terrorist attack at Riverside, Nairobi-Kenya: All attackers eliminated and atleast 21 people are dead. Al-Shabab claimed responsibility for the attack

HIVI HAWA MAGAIDI HUWA NI DINI GANI???AU HAWANA DINI HAWA MANAKE HAWANA HURUMA KABISA

Waliotengeneza Silaha zinazotumiwa Na hao Magaidi Ni dini gani? Jee wana Huruma Au walitengeneza Na kuuza hizo silaha kwa Magaidi zikaulie Tembo?
 
kenyan authorities are trying to control the media about the publishing of news that is related with the attack.

it's too late though, alshabab terrorists have already claimed that they are the one behind this it.
 
Walinzi wa Hoteli walikuwa wapi Muda wa tukio?


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Ondoeni neno Ugaidi jamani kwanini msiseme ni majambazi tu
wenye kazi yao wanataka kutambulika hivyo, ukiwaita majambazi unawashushia hadhi. kwasababu motive ya magaidi na majambazi inatofautiana.

na tayari wenye kazi yao wameshaitangazia dunia kuwa ni wao ndio wanahusika na hilo shambulizi. ila serikali ya kenya inataka wewe ujue kuwa ni shambulizi la majambazi wanaotaka kufanya ukora.

soma hiyoooo[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Huyu hapa kwa video, amebahatika hakutangulizwa mbele ya haki, kaachia akamatwe mzima mzima...
Huyo anastahili kupigwa risasi papo hapo sijui anakamatwa kwa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…