Nmetoa caution.. Sasa sijui hlo povu umelitoa wapiAcha ujinga kwenye matatizo.ungekuwa umo ndani ungeandika hivyo.huko kuna watanzania wengi wanahitaji kuokolewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji848] [emoji848] [emoji848]Huyu hapa kwa video, amebahatika hakutangulizwa mbele ya haki, kaachia akamatwe mzima mzima...
Ohoooo hapo hakuna biscuti wasije wakaanza kufakamia biscuti na kuwapiga search marehemu hao askari siyo wa kuwaamini hata kidogo15 Jan 2019
Nairobi, Kenya
Recce squad arrives at 14 Riverside following an explosion and heavy gunfire in the area of the Nairobi city, Kenya East Africa. People trapped inside the buildings report of incessant shootings with many taking to social media to say they are holed up in several of the adjacent buildings. Many others reported of an active shooter in one of the buildings.
[emoji848] [emoji848] [emoji848]
Sent from my SM-A720F using Tapatalk
Walinzi wa Hoteli walikuwa wapi Muda wa tukio?
Sent from my iPad using JamiiForums
Your bile against Kenya is up and bubbling man!. Kenya is a one country whose media can not be gagged easily as you perceive, unless you decide to do a total shut down. But even if you do that, other foreign and independent news rooms will still expose it. Do you know that BBC was well ahead in posting this on their website before JF?.. what the government is saying is that Kenyans should decist from sharing past gross propaganda graphics that are being peddled on media by terrorists sympathisers. So far soo good, we've only lost five people. Mungu awape nguvu wapendwa wao.wenye kazi yao wanataka kutambulika hivyo, ukiwaita majambazi unawashushia hadhi. kwasababu motive ya magaidi na majambazi inatofautiana.
na tayari wenye kazi yao wameshaitangazia dunia kuwa ni wao ndio wanahusika na hilo shambulizi. ila serikali ya kenya inataka wewe ujue kuwa ni shambulizi la majambazi wanaotaka kufanya ukora.
soma hiyoooo[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 995662View attachment 995663
Waliwachokoza wenyewePole yao jamani - hivi ugaidi hadi lini?
vip ndio unaamka sasa hivi? Pole sanaNasikia mapigano makali ya risasi yamesikika katika jiji la Nairobi kuna mtu mwenye habari zaidi kuhusu hili.
Marekani yawatahadharisha raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania dhidi ya 2 na uhalifu - JamiiForums
Wao wapigane, sisi tupate hela - Jiwehawa jamaa wasipodhibitiwa soon wataingia Bongo,,
Nasikia mapigano makali ya risasi yamesikika katika jiji la Nairobi kuna mtu mwenye habari zaidi kuhusu hili.
Marekani yawatahadharisha raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania dhidi ya 2 na uhalifu - JamiiForums
Maana hili onyo lilikuwa kwa Nchi za Afrika ya Mashariki.Inawezekana jina la operation liliandikwa tanzania wakimaanisha nairobi