Terrorist attack at Riverside, Nairobi-Kenya: All attackers eliminated and atleast 21 people are dead. Al-Shabab claimed responsibility for the attack

Terrorist attack at Riverside, Nairobi-Kenya: All attackers eliminated and atleast 21 people are dead. Al-Shabab claimed responsibility for the attack

Kosa lao ni kuisaidia marekani kuwa base ya marekani kupambana na Somalia ,ndo wakajiingiza ,alshababu kama nia ni kuua ua tu basi wangeenda burundi ,magaidi sio vichaa na wangekuwa wajinga jinga marekani isingehangaika nao hivyo
Kwahiyo inaweza isiwe mpango wa Marekani kama wengi wanavyo dhani???

MGC
 
Buying a rat snare does not guarantee 100% immune. Others will surely infiltrate, don't pretend that you dodn't know that, do you?...
Acha kutoa sababu zisizokwisha, mlisema mnapeleka KDF Somalia kuzuia Alshabab wasivuke mpaka kuingia Kenya, hali ndio ikawa mbaya zaidi ya hata kabla ya KDF hawajaenda huko, mkasema mnajenga ukuta, matokeo yake mlijenga lakini mkaacha njiani hamjamalizia. Mbona ISrael imefanikiwa kudhibiti mashambulizi ya wapalestina katika miji yao baada ya kujenga ukuta?, Kenya nothing works.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magaidi si wapuuzi, umewahi kusikia kitu kinaitwa 'inside job'? siku zote mashambulizi haya yamekuwa na details za kutosha kuonesha ni kazi iliyo fanywa eidha na serikali yenyewe, au serikali imeufaham mchongo mzima lakini imefanywa kuwa 'paralyzed' isifanye chochote, na hicho ndicho kilicho onekana kule waste gate, na picha hiyo hiyo kama inajirudia. Hii ni sawa na kuamini kuwa maharamia wa somalia wakiwa na mitumbwi yao walikuwa wanaweza kuteka majimeli makubwa!!!!! Kumbuka Kenya ni nchi, inalo jeshi, vifaru, wizara ya usalama na ulinzi, n.k hainiingii akilini eti wanamgambo ... wasio na serikali, wala jeshi, wala wizara ya ulinzi wala bajeti ya ulinzi wafanye hilo wanalo lifanya kisha kutoweka!!! wasishikwe kisha waje wajitangaze ni wao wamefanya wasishikwe!!! kweli hili ???? 'Divide and Rule'
Mkuu Ni rahisi Sana kufanya shsmbulio Kama Hilo, na wahusika wasikamatwe ...Alshabab wao wanatrain na kufadhili vijana husika,hivyo baada ya tukio kufanikiwa basi wao lazima wajitangaze kuhusika maana wamefanikisha, pia kuhusu kutojua kwa Serikali hiyo Ni rahisi mbona Nchi zetu Zaki Africa tunafanya Mambo kwa mazoea

Daima toa bila kukumbuka na Pokea bila kusahau
 
Acha kutoa sababu zisizokwisha, mlisema mnapeleka KDF Somalia kuzuia Alshabab wasivuke mpaka kuingia Kenya, hali ndio ikawa mbaya zaidi ya hata kabla ya KDF hawajaenda huko, mkasema mnajenga ukuta, matokeo yake mlijenga lakini mkaacha njiani hamjamalizia. Mbona ISrael imefanikiwa kudhibiti mashambulizi ya wapalestina katika miji yao baada ya kujenga ukuta?, Kenya nothing works.

Sent using Jamii Forums mobile app
Some of the so called safest places on earth like Paris in France, US states etc are still grappling with the same, can a lower middle class be an exceptional?. You chose Israel and forgot to mention what I've given you as an example.
 
Si kweli Kenya i
Kumbuka hawakuomba,
Can happen to us too,
Ni kuombeana Mungu!!


Sent using Jamii Forums mobile app[/Kenya inajitakia hata matatizo ,hebu jiulize kwanini inapigwa!???wakenya wapumbavu sana ni sawa na MTUanawasha moto chini ya kitanda kisha analala kitandani !!! Nini nimewapeleka somalia!??.waacheni wasomali wauane ndani ya nchi yao mpaka waishe nyie mmejipeleka oneni mnachokipata
 
Hiki ndo kilifanyika kwenye shambukizi LA westgate, nilifuatilia sana hiki Kisa lakini nilishangaa sana, washambuliaji, kuna mmoja wapo baada ya kushambulia alitandika muswala akasali humo humo alimokuwa anashambulia alafu wengine walibadirisha mavazi haraka wakajichanganya kwa RAIA wakatoka nje kama kawaida, kilicho nisikitisha kuna mama mmoja alimkariri mshambuliaji mmoja ambaye tayari alikuwa ameshabadiri mavazi yule mama alimkomalia yule mshambuliaji kwa kumsontea kwa mapolisi lakini mapolisi hawakushughulia naye hadi yule jamaa akatokomea na kujichanganya kwa RAIA. Hawa magaida wapuuzi sana

Ebu tuonyeshe video ya kudhibitisha huu uharo ulioandika.
 
Nashindwa hata cha kukujibu, Mungu akusamehe bure na ausafishe mdomo na mawaz yako,

Poleni wakenya na Mungu ilinde nchi yetu Tanzania na viongozi wake
Viongozi wanaotubomolea nyumba zetu walindweje na Mungu?
Kama kweli Mungu ndiye Mungu wa kisasi tunamuomba awashushie kiberiti mfano wa kile cha Sodoma na gomora.
Mungu aisikie dua hii AAAMEN!
 
Poleni sana Majirani zetu Wakenya..mimi naona Serkali hiyo ya Somalia pia inahusika.
 
Back
Top Bottom