Terrorist attack at Riverside, Nairobi-Kenya: All attackers eliminated and atleast 21 people are dead. Al-Shabab claimed responsibility for the attack

Viongozi wanaotubomolea nyumba zetu walindweje na Mungu?
Kama kweli Mungu ndiye Mungu wa kisasi tunamuomba awashushie kiberiti mfano wa kile cha Sodoma na gomora.
Mungu aisikie dua hii AAAMEN!
Utakufa na usicho kijua.
Acha kuleta mihemko ya chama ktk suala la nchi. Wewe ukiona nchi inakushinda hama,
Mtuachie nchi yetu cz bado tupo tunao ipenda na kuiwazia mema.

Mm sijawahi ona watu wasio kuwa na akili kama hivi kutukana mahali ambapo ndipo ulipo zaliwa na kizaz chako kinaishi hapa.
Kama unaona mengine magumu rudi kwa Mungu omba kwa hekima na ufahamu, ukienda kwa mihemko hata zuri la nchi yako huto liona utabaki kunyooshea viongozi vidole tu, mwisho upate magonjwa ya moyo.

Mungu akusaidie, uipende nchi yako na kinywa chako kijifunze kubarik na sio kulaani sababu laana inaweza kukurudia pasipo kuelewa.
Kuna watu wanakesha kuombea nchi ww unaleta mihemko. Unafikiri kuna nchi perfect na viongoz perfect
Rudi nyuma kwa wazazi, au ktk ndoa wapo perfect?
Tulia tu usije kufa kwa magonjwa ukawa sadaka.
Siasa ni mchezo mchafu
 
Some of the so called safest places on earth like Paris in France, US states etc are still grappling with the same, can a lower middle class be an exceptional?. You chose Israel and forgot to mention what I've given you as an example.
France, US, na other European countries hazijapakana na nchi zenye terrorists kama ilivyo Kenya na Israil, Alshabab hutokea Somalia na kuingia Kenya, kama ilivyo wapalestina hutokea Palestina na kuvuka mipaka kuingia Israel, kwahiyo ukuta ni suluhisho kwa Israel na Kenya sio kwa hizo nchi zingine.
Hizo nchi zingine terrorists kutumia Airports kuingia ndio sababu wanadhibiti sana kutoa visa na wageni kuingia katika nchi zao. Kitu cha kushanga, Israel wamefanikiwa kuwadhibiti wapalestina kwa kujenga Ukuta, lakini Kenya kila siku ni kutoa visingizio visivyokwisha, hata ukuta wenye hamjamaliza, sasa si mngeujenga ukamalizika muone kama watavuka waendelee kushambulia, tatizo mnajifanya wajuaji sana wakati hamna kitu mnachoweza kufanya kwa mafanikio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1547587829770.png

Recce squad, always swift
 
First understand how terrorism and radicalisation works before you start yapping
 
Utakufa na usicho kijua.
Acha kuleta mihemko ya chama ktk suala la nchi. Wewe ukiona nchi inakushinda hama,
Mtuachie nchi yetu cz bado tupo tunao ipenda na kuiwazia mema.

Mm sijawahi ona watu wasio kuwa na akili kama hivi kutukana mahali ambapo ndipo ulipo zaliwa na kizaz chako kinaishi hapa.
Kama unaona mengine magumu rudi kwa Mungu omba kwa hekima na ufahamu, ukienda kwa mihemko hata zuri la nchi yako huto liona utabaki kunyooshea viongozi vidole tu, mwisho upate magonjwa ya moyo.

Mungu akusaidie, uipende nchi yako na kinywa chako kijifunze kubarik na sio kulaani sababu laana inaweza kukurudia pasipo kuelewa.
Kuna watu wanakesha kuombea nchi ww unaleta mihemko. Unafikiri kuna nchi perfect na viongoz perfect
Rudi nyuma kwa wazazi, au ktk ndoa wapo perfect?
Tulia tu usije kufa kwa magonjwa ukawa sadaka.
Siasa ni mchezo mchafu
Watumwa including you ndio hulazimika kumuombea mema bwana wao.
Sisi tulio huru kutoka uumbaji mpaka fikra tunajua kuwa nchi na vyote viijazavyo ni mali yake Mungu. Mungu ametuambia tumuimbe naye atatupa sawasawa na maombi yetu!

Ndiposa tunamuomba akimimine kiberiti mfano wa kile cha sodoma na gomora kwa wote wakaao magogoni walao na kusaza huku wakikinajisi kiti kitufu kwa kufanya makafara ya kilozi MACHONI PA BWANA!

Ama ni kipi janga kwenu ya kwamba Mungu awaachie mtawala akae kwenu kisha Mungu aigharikishe nchi kwa matendo maovu ya mtawala au amkatilie mbali mtawala na kuwahifadhi salama wote wakaao juu ya nchi?
 
January 15, 2019
Johannesburg South Africa

Reaction from Tanzania following Kenya attack:

South African Broadcasting Corporation SABC cross the border now and go to Tanzania where according to this media giant, Al Shabab is enjoying some support in Tanzania

Source : SABC Digital News
 
January 15, 2019
Johannesburg, South Africa

Allan Ngari on terrorism in Africa

We are now joined by Allan Ngari, Senior Researcher in the Transnational Threats and International Crime programme at the Institute For Security Studies.

Source : SABC Digital News
 
Back
Top Bottom