Sasa kama ulikuwa unajua mbona usituleete hapa mbinafsi sana.vip ndio unaamka sasa hivi? Pole sana
Labda zilikuwa kwenye jukwaa la Kenya.Inamaana nyuzi zinazoripoti humu huzioni?
Ili al-shabab wawasogelee mlangoni kwao?
Dawa ya shetani kama ilo nikulitesa tu mpk litaje baadhi ya siri zao na likigoma unabinya mapumbu wee hali yake ikiwa mbaya unalitibu likikaribia kupona unalianzishia tena yan unahakikisha hafi mpk umelisulubisha na umepata chochote kitu kutoka kwake.Tena unaruka nae kimya kimya hakuna watu kujua maana wanatokeaga human right watch wanajikuta wanaleta upuuzi wa haki za binadamu.Kuna video yake ilionyeshwa subiri nikiipata nitaileta. Asili ya kiarabu...
Wali-take coverWalinzi wa Hoteli walikuwa wapi Muda wa tukio?
Sent from my iPad using JamiiForums
Poor justification!Labda zilikuwa kwenye jukwaa la Kenya.
Buying a rat snare does not guarantee 100% immune. Others will surely infiltrate, don't pretend that you dodn't know that, do you?...Poleni sana watani zetu. Hivi ule ukuta mliojenga katika mpaka wa Somalia haujamalizika?, au ndio yale yale ya "Nothing works in a failed state".
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu watadai wanapigania dini na wanampinga USA .
Watu wamekaririshwa chuki za kipumbavu.
Na hata vita vyenyewe ni vya kuvizia innocents
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungemfanya nini kikubwa zaidi ya kumuua? Ambacho ameaminishwa ni haki yake na lazima akipate?Yachapeni hayo maganidi ***** zao..
Yaani watu wametulia wanakula bata zao kwa hela walioitafuta kwa nguvu zao halafu inakuja mijitu imechoka kuishi inaanza kulipua mabomu..
Mimi ningekuwa na mamlaka huyo gaidi aliyedakwa ningemfanya mfano wa kuigwa kwa magaidi wote duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss kazi ya mlinzi ni kutambua na kuripoti siyo kupambana kuna watu spesho wa kupambana, askari na wanajeshi.Walinzi wa Hoteli walikuwa wapi Muda wa tukio?
Sent from my iPad using JamiiForums
Walinzi wa Hoteli walikuwa wapi Muda wa tukio?
Sent from my iPad using JamiiForums
Did you see their cadavers ?