Terrorist attack at Riverside, Nairobi-Kenya: All attackers eliminated and atleast 21 people are dead. Al-Shabab claimed responsibility for the attack

First understand how terrorism and radicalisation works before you start yapping
Ujuaji wenu ndio kifo chenu, acheni kujifanya mnajua kila kitu wakati hamna jambo mnalofanikisha, ila poleni sana kwa shambulizi. Punguzeni kujifanya wajuaje na muanze kujifunza kwa wenzenu waliofanikiwa(Israel).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hadi wanao watumia watakapo maliza wanachokitaka

Magaidi wote wanaotumika ni kwa ajili ya magendo ya pembe na vilivyomo ardhini

Sasa mpaka viishe si leo

Sent from my SM using Tapatalk
Sisi hatuna?
 
Wakenya kwa security bado sana. Jamaa wanne wanawachezea almost 10 hours. aseeeee
 
Uislam ni dini ya amani na inamkataza mtu kumwaga damu za watu, hizi ni propaganda za kisiasa chini ya kivuli cha dini,na hao wanaouwa watu hivyo hadithi inasema ni "mbwa wa motoni" means watachomwa moto siku ya kiama kwa kuua kwao watu na mengine wanayofanya
 
Ila hawa jamaa hii mara ya pili, wanatoa war
warning harafu hutokea kweli, wao taarifa zinakuwaje kwao?
Huyo ndiye MKOLONI mzungu ndg, kwa jicho la nje huwezi kuona anachofanya ila inside eye (behind the scenes) you can see.

Unaweza kusema wanapanga wao haya mashambulizi ila kwa upande mwingine wana wataalam mbali mbali wanaosoma hali ya mahusiano, ulinzi nk.

Kupitia hapo (mfano, Kenya ilijitoa kwenda kupambana na Alshabab kule kwao na hao gaidi waliwapa Kenya warning watoe jeshi lao au watapata cha moto, tokea hapo ndiyo hii unayoona.

SWALI LAKO:
mkoloni anasoma mchezo unavoenda then anatoa taarifa baada ya kuona ⚠!
 
"Wao wapigane sie tipate hela" mtukufu kiongozi mkuu wa malaika
Mtu .mwenye akili timamu anatamka maneno kama haya ... huku wenyewe wana msikia kweli "!? Mbaya zaidi nchi yake ipo kwenye Muungano wa umoja wa nchi za africa mashariki .... if hao anao waombea mabaya wakimshika uchawi na kumwambia kuwa ana husika " katika kufanya kampeni za kuiingiza congo katika machafuko atakataa maana majeshi yake yapo kule "

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi kwani wewe umeshaolewa? au bado unachumbiwa?
 

Kama hakuna mzungu aliyejeruhiwa au kufariki au hakuwepo muda wa shambulio, jiongezeni. Nachokiona hapo USA na NATO wanataka Kenyatta asiondoe Majeshi Somalia, hao Alshababu wametumiwa na mabeberu kufanikisha wanachokitaka.
 
Ni muda muafaka kwa jeshi letu kuingia Mogadishu kuwatokomeza magaidi wa Al Shabaab,lazima tuwasaidie ndugu zetu wakenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…