Duh!Hawawezi kamwe. Lazima Al shabaab wale vichwa mpaka wachoke wenyewe.
Nawapenda sana.
Kenyans wana ass-lick wazungu alafu wazungu wana shit on them.Ngoja spokesperson wao aje kuwatetea wazungu kama kawaida yao, au mmesahau wazungu kwa ni miungu,
😅😅😅😅😅👇👇👇👇View attachment 996118
afadhari umepona vip ule mpango lakini?Naona habari sasa hivi. Ni nini kinaendelea?
Hio hata mm nimeielewa aise jamaa mochwari lazima aichukueNilidhani nimeiona pekee yangu kumbe tupo wengi,
Hiyo raba kwa hapa bongo ni za kutafuta sana cuz sasa hivi hakuna fashion ya kiatu kama hicho inayo-trend baada ya air max kupitwa na wakati!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo raba haifiki mortuary, askar wa Kenya wasikie tu kwenye media!
Hawa wezi omba suluhu, usa kamshika pabaya mkenya walahi
Kenya kwishney that’s all walahi
Hiyo raba haifiki mortuary, askar wa Kenya wasikie tu kwenye media!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha mbavu zangu jamani uwiiiAhaaa haaa haaa
inamaana sawa sawa na ile story ya mtu aliyenunua jini. anataka kulirudisha linamganda.
Teh teh teh tihiii
Wanasema et ni sunnaNaomba kuuliza hawa vijana waliouawa wanapewa nini mpaka wanakubali kujitoa muhanga ,yaan akili zao zinakuwaje au sio binadam wa kawaifa jameni
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo miongoni mwa Magaidi waliouwawa? Naomba ufafanuzi wa hizi picha Mkuu?
Nilidhani nimeiona pekee yangu kumbe tupo wengi,
Hiyo raba kwa hapa bongo ni za kutafuta sana cuz sasa hivi hakuna fashion ya kiatu kama hicho inayo-trend baada ya air max kupitwa na wakati!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukio la westgate ilisemekana askari walipoingia kwenye mall kukabiliana na magaidi kna maskari wa kny walikuwa wana kwapua vitu kma sim etc
Pumbavu Sana hao mbwa! Wanajifanyaga wana maadili na wanaheshimu thamani ya mtu kumbe wahuni tu.Hawa NYT wakiripoti gun violence kwao huko hutaona maiti za watu ila jana walikipata cha moto baada ya kupost picha za maiti zikiwa zimezagaa hotelini (Dusit Hotel).
Kama wewe ni Mwafrika uliyechoshwa na negative and biased coverage of Africa by Western media lazima hii ikuguse na wewe.
NYT wamekataa kuomba msamaha na badala yake wamejaribu kutoa maelezo ya kwa nini walifanya hivyo.
Kuna hatari ya Bureau Chief wao kufukuzwa.
View attachment 996114