Terrorist attack at Riverside, Nairobi-Kenya: All attackers eliminated and atleast 21 people are dead. Al-Shabab claimed responsibility for the attack

Terrorist attack at Riverside, Nairobi-Kenya: All attackers eliminated and atleast 21 people are dead. Al-Shabab claimed responsibility for the attack

Hawa wezi omba suluhu, usa kamshika pabaya mkenya walahi
Kenya kwishney that’s all walahi

Ahaaa haaa haaa
inamaana sawa sawa na ile story ya mtu aliyenunua jini. anataka kulirudisha linamganda.
Teh teh teh tihiii
 
Hivi hawa wanapigania haki au wamechoka kuishi tu. Si wanye tu simu ya panya wapunzike kwa amani kuliko kuletea watu shidah yote hii
 
Nilidhani nimeiona pekee yangu kumbe tupo wengi,

Hiyo raba kwa hapa bongo ni za kutafuta sana cuz sasa hivi hakuna fashion ya kiatu kama hicho inayo-trend baada ya air max kupitwa na wakati!

Sent using Jamii Forums mobile app

Raba gani hiyo? Brand?

Na AirMax imepitwa na wakati kivipi ilhali Vapormax 2019 imetoka tarehe 10 majuzi tu hapa...??!!!

Na ni moto wa kuotea mbali! Retail price ni $190.00
 
Hawa NYT wakiripoti gun violence kwao huko hutaona maiti za watu ila jana walikipata cha moto baada ya kupost picha za maiti zikiwa zimezagaa hotelini (Dusit Hotel).
Kama wewe ni Mwafrika uliyechoshwa na negative and biased coverage of Africa by Western media lazima hii ikuguse na wewe.
NYT wamekataa kuomba msamaha na badala yake wamejaribu kutoa maelezo ya kwa nini walifanya hivyo.
Kuna hatari ya Bureau Chief wao kufukuzwa.

View attachment 996114
Pumbavu Sana hao mbwa! Wanajifanyaga wana maadili na wanaheshimu thamani ya mtu kumbe wahuni tu.
 
Tukisema, "Usilamu ni tatizo/janga la dunia" watu wanabisha. Utashangaa kabla hao jamaa (magaidi ) hawaja fyatua risasi, walisoma na DUA kwanza
 
Back
Top Bottom