mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawawezi kamwe. Lazima Al shabaab wale vichwa mpaka wachoke wenyewe.
Nawapenda sana.
Hudhuria msiba - JamiiForumsNi rasmi magaidi wote waliokuja kujitoa mhanga wameuawa na kuwahishwa mbele ya haki, idadi ya watu wote waliofariki imefikia 14
--------------------------------------------
In a televised address, President Uhuru Kenyatta has confirmed that all terrorists in 14 Riverside and Dusit D2 Hotel attack had been neutralized.
He added that 14 people had been killed in the terror attack.
Specialized Security Forces leading the operation at Dusit D2 Hotel, at 14 Riverside, Nairobi managed to gun down the attackers.
Gory photos shared on social media showed at least two of the attackers captured on CCTV camera dead.
Their lifeless, bullet-riddled bodies were seen lying next to several spent cartridges.
There were also bullet holes on the walls of the room where the terrorists were gunned down.
Police Kill All Terrorists in Riverside Attack - Uhuru Confirms
- The graphic photos seen by Kenyans.co.ke show the gunned persons wearing clothes and bullet jackets resembling those captured on the CCTV footage.He also indicated that the operation was over and that all the terrorists had been killed.
Narudia tena dini ni upuuzi. Hayo usemayo ni propaganda pia. Hivi unakumbuka mauaji ya dini yaliyowahi kutokea ulaya miaka ya nyuma ???... Si ukristo ,si uislam dini zote ni ushezi. Dini zote zimejaa unafiki ndio maana huwezi sikia viongozi na vyombo vya kiislam zikitolea ufafanuzi kilichofanyika Jana.Hakuna aya yoyote ktk Quran inayothibitisha hilo Mkuu. Hizo ni propaganda zinazotumiwa na watu fulani kwa maslahi yao binafsi kwa kuwatumia hawa vijana wajinga.
Kwani hao wakubwa wao hawataki hizo ‘thawabu’? Kwanini wao huwa hawaendi badala yake wanawatumia vijana?
Tena wanalindwa kwa ulinzi mkali kwelikweli, na wakivamiwa wanapigania maisha yao.
Magaidi sio wenzetu ktk Uislam, hatuwatambui na wala hatuna ushirika nao. Ni vikundi vya kishetani vinavyotumia Dini yetu kama kichaka.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwa hiyo Al shaabab wanaua watu, wazungu wanapata hela??wazungu ndo wana wafadhili hao magaidi.
al Shabab wana pata wapi Silaha,vifaru na magari?
VITA NI BIASHARA NZURI SANAA.
na ndo maana hao wazungu Hawaachi kutengeneza
SILAHAA
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia isingekuwa na dhulma kusingekuwepo mauwaji kama hayo kila kukicha ,ni sababu watu wanadhulumiwa ndo mana wana revenge,, kuhusu mambo ya iman tizama vyakwako vinavyo kuhusu wewe na iman yako sijui kama dini gani mambo ya Iman zingine hayakuhus !Poleni sana ndugu zetu wakenya na Hingera sana jeshi la Kenya kwa kazi nzuri ya kurudisha usalama wa Kenya.
Hata hivyo nchi za Afrika mashariki zifanye jitihada zaidi kuzuia uhalifu kutokea badala ya kupambana na wahalifu wakiwa tayari wameshafanya uharibifu.
pili kuna wanafanya propaganda "ukifa vitani Mungu atakupa bikira saba" nadhani wengi wa wanaojitoa mhanga ili wakutane na hao mabikira kitu ambacho ni upotshoji wa hali ya juu. Tuanze kufuatilia kwa karibu wote wanaoeneza propaganda za kidini zisizokuwa na ukweli bila kuangalia dhehebu atokalo.
Du wanaume wa Kenya wako uwanjani. Fykelea mbali hao mataahira!