kelao
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 8,132
- 5,800
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NI PIGO KWA SEKTA YA UTALII KENYA. Wanachokifanya ni kuchafua sifa ya Kenya kimataifa kwani uchumi wa Kenya unategemea sana utalii
Hawa si vijana wadogo age ya 20s! Nawapongeza wanajeshi kwa kuwaua hawa watoto wa mashetani na kuwawahisha jehanamu tena wakawe kuni kabisaa! Duu!
Hawa wezi omba suluhu, usa kamshika pabaya mkenya walahiNI NGUMU SANA KUPAMBANA NA MTU AMBAE HUMJUI VEMA MAKAZI YAKE,MUONEKANO NA HATA MBINU ZAKE
Ni muda sasa kenya wataomba suluhu na al shabab
Haihitaji ELIMU YA PHD kujuwa ULICHOKUSUDIA,,,sasa unaweza ukasema kwa uwazi ulikusudia DINI GN?au alshababi ni dini?au KUNDI LA WAHUNI? usifananishe maslahi ya WAHUNI FULANI na dini ya MUNGUBablai unajishtukia mzee!!!
Ukiwa hivi kila mtu utagombana naye maana kama unachoamini wewe unaamini kabisa hakina mambo hayo then kwanini uanze kusema wenye akili za ndani wanajua nalenga dini,basi unanilazimisha niamini kwamba wewe ni mmoja ktk dini ninayoijua inafanya mambo hayo.
Nikuulize wewe dini yako inaruhusu kumuuwa mtu ili uende peponi?
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Sio rahisi walahihawa jamaa wasipodhibitiwa soon wataingia Bongo,,
hawa vijana hata huko somalia wanawaua hata wasomalia wenzao...pure anarchistsHawa si vijana wadogo age ya 20s! Nawapongeza wanajeshi kwa kuwaua hawa watoto wa mashetani na kuwawahisha jehanamu tena wakawe kuni kabisaa! Duu!
Usiniwekee maneno mdomoni chief mimi kuwa mtu mzima siyo ndiyo niandike tu vitu bila kuzingatia mazingira halisi,waislam wenzako wanakataa wao hawauwi wewe unanilazimisha hapa niseme waislam wanauwa unataka wanitafute waniuwe na mimi?wewe ni mtu mzima.ongea kiutu uzima.
unamficha nani au unamdanganya nani?
kwani ukisema unamlenga m uislam na uislam kwani utapigwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
They're stupid warmongers, that is a somalian! they were supposed to be caught alive and castrate their balls using hammer!
WalahiSio rahisi walahi
Hawana issue nasi, acha uwoga kijana mdogo duh
Nadhani ingefaa kusema wamewahishwa wanakostahili na si mbele ya haki. Hata hivyo, natoa pole kwa familia za wote waliopatwa na maafa na Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu, maana mambo haya bora uyasikie kwa wenzio tu yasikukumbe...Ni rasmi magaidi wote waliokuja kujitoa mhanga wameuawa na kuwahishwa mbele ya haki, idadi ya watu wote waliofariki imefikia 14
Police Kill All Terrorists in Riverside Attack - Uhuru Confirms
NI NGUMU SANA KUPAMBANA NA MTU AMBAE HUMJUI VEMA MAKAZI YAKE,MUONEKANO NA HATA MBINU ZAKE
Ni muda sasa kenya wataomba suluhu na al shabab
Hawa wezi omba suluhu, usa kamshika pabaya mkenya walahi
Kenya kwishney that’s all walahi
Acha ujinga, akili za kipumbavu, ungekuwa na ndugu yako kenya ungeandika hivyo, kushindwa kutoka nje ya nchi yako kunakufanya kuwa na akili za kijinga, pumbafu weweHawa wezi omba suluhu, usa kamshika pabaya mkenya walahi
Kenya kwishney that’s all walahi