Terrorist attack at Riverside, Nairobi-Kenya: All attackers eliminated and atleast 21 people are dead. Al-Shabab claimed responsibility for the attack

Terrorist attack at Riverside, Nairobi-Kenya: All attackers eliminated and atleast 21 people are dead. Al-Shabab claimed responsibility for the attack

Mpambano wa Westgate siege wale magaidi hawakupatikana while walikua surrounded na KDF.....sitoshangaa na hawa sasa hivi tukashangaa tukio linaisha hawajaonekana na wakati inajulikana wapo inside the hotel.....

Kenya mnatakiwa kuboresha ulinzi wenu sana ukizingatia mmepakana na watu wa matukio huko juu. Maana ninyi mkizidiwa huko basi washafika bongo, kwa hawa maafisa usalama wanaotumia meno badala ya ujuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uislam ni dini ya amani na inamkataza mtu kumwaga damu za watu, hizi ni propaganda za kisiasa chini ya kivuli cha dini,na hao wanaouwa watu hivyo hadithi inasema ni "mbwa wa motoni" means watachomwa moto siku ya kiama kwa kuua kwao watu na mengine wanayofanya
Hizo ndio maana umesema ni hadithi tu.....hapa tunaongelea uhalisia watu wametekwa wakatengwa kwa dini zao Christian wakachinjwa, muslims wakaambiwa wapo huru, au umesahau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpambano wa Westgate siege wale magaidi hawakupatikana while walikua surrounded na KDF.....sitoshangaa na hawa sasa hivi tukashangaa tukio linaisha hawajaonekana na wakati inajulikana wapo inside the hotel.....

Kenya mnatakiwa kuboresha ulinzi wenu sana ukizingatia mmepakana na watu wa matukio huko juu. Maana ninyi mkizidiwa huko basi washafika bongo, kwa hawa maafisa usalama wanaotumia meno badala ya ujuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Two of them are already killed!
View attachment 996014
tapatalk_1547625425010.jpeg
tapatalk_1547625409299.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ndezi kavaa raba kali kinoma, dah.

Katika vitu ambavyo hunishinda kutafakari ni pale mtu anapojiandaa hivi kwenda kufa! Tena kwenda kuua wasio na hatia nawe kufa kwa propaganda za kipuuzi!

Sent from my iPhone using JamiiForums
Wanasema watafika mbele ya Allah , Pumbavu kabisa alieleta huu upuuzi wa Dini ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magaidi si wapuuzi, umewahi kusikia kitu kinaitwa 'inside job'? siku zote mashambulizi haya yamekuwa na details za kutosha kuonesha ni kazi iliyo fanywa eidha na serikali yenyewe, au serikali imeufaham mchongo mzima lakini imefanywa kuwa 'paralyzed' isifanye chochote, na hicho ndicho kilicho onekana kule waste gate, na picha hiyo hiyo kama inajirudia. Hii ni sawa na kuamini kuwa maharamia wa somalia wakiwa na mitumbwi yao walikuwa wanaweza kuteka majimeli makubwa!!!!! Kumbuka Kenya ni nchi, inalo jeshi, vifaru, wizara ya usalama na ulinzi, n.k hainiingii akilini eti wanamgambo ... wasio na serikali, wala jeshi, wala wizara ya ulinzi wala bajeti ya ulinzi wafanye hilo wanalo lifanya kisha kutoweka!!! wasishikwe kisha waje wajitangaze ni wao wamefanya wasishikwe!!! kweli hili ???? 'Divide and Rule'
Your brain is purely sophisticated. You are understanding hings critically. Wengi wanamisi hili. Huwa nacheka namna watu wanamisi hili. Hahaha! Umetisha.
 
Wanasema watafika mbele ya Allah , Pumbavu kabisa alieleta huu upuuzi wa Dini ..

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakuna aya yoyote ktk Quran inayothibitisha hilo Mkuu. Hizo ni propaganda zinazotumiwa na watu fulani kwa maslahi yao binafsi kwa kuwatumia hawa vijana wajinga.

Kwani hao wakubwa wao hawataki hizo ‘thawabu’? Kwanini wao huwa hawaendi badala yake wanawatumia vijana?
Tena wanalindwa kwa ulinzi mkali kwelikweli, na wakivamiwa wanapigania maisha yao.

Magaidi sio wenzetu ktk Uislam, hatuwatambui na wala hatuna ushirika nao. Ni vikundi vya kishetani vinavyotumia Dini yetu kama kichaka.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huyu ndezi kavaa raba kali kinoma, dah.

Katika vitu ambavyo hunishinda kutafakari ni pale mtu anapojiandaa hivi kwenda kufa! Tena kwenda kuua wasio na hatia nawe kufa kwa propaganda za kipuuzi!

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kazi ya mtume, kama utakuwa unaelewa kidogo imani ni nini hutamulaum ata kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni rasmi magaidi wote waliokuja kujitoa mhanga wameuawa na kuwahishwa mbele ya haki, idadi ya watu wote waliofariki imefikia 14

--------------------------------------------
In a televised address, President Uhuru Kenyatta has confirmed that all terrorists in 14 Riverside and Dusit D2 Hotel attack had been neutralized.

He added that 14 people had been killed in the terror attack.

Specialized Security Forces leading the operation at Dusit D2 Hotel, at 14 Riverside, Nairobi managed to gun down the attackers.

Gory photos shared on social media showed at least two of the attackers captured on CCTV camera dead.

Their lifeless, bullet-riddled bodies were seen lying next to several spent cartridges.

There were also bullet holes on the walls of the room where the terrorists were gunned down.

  • The graphic photos seen by Kenyans.co.ke show the gunned persons wearing clothes and bullet jackets resembling those captured on the CCTV footage.He also indicated that the operation was over and that all the terrorists had been killed.
Police Kill All Terrorists in Riverside Attack - Uhuru Confirms
Wakenya poleni kwa hili janga na hongereni kwa kuwa wahisha hao magaidi mbele ya mungu wao. Magaidi hakuna lugha nzuri ya kuongea nao zaidi ya kuwaua.
 
Kuna yule fat one wanasema ka escape

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Ni rasmi magaidi wote waliokuja kujitoa mhanga wameuawa na kuwahishwa mbele ya haki, idadi ya watu wote waliofariki imefikia 14

--------------------------------------------
In a televised address, President Uhuru Kenyatta has confirmed that all terrorists in 14 Riverside and Dusit D2 Hotel attack had been neutralized.

He added that 14 people had been killed in the terror attack.

Specialized Security Forces leading the operation at Dusit D2 Hotel, at 14 Riverside, Nairobi managed to gun down the attackers.

Gory photos shared on social media showed at least two of the attackers captured on CCTV camera dead.

Their lifeless, bullet-riddled bodies were seen lying next to several spent cartridges.

There were also bullet holes on the walls of the room where the terrorists were gunned down.

  • The graphic photos seen by Kenyans.co.ke show the gunned persons wearing clothes and bullet jackets resembling those captured on the CCTV footage.He also indicated that the operation was over and that all the terrorists had been killed.
Police Kill All Terrorists in Riverside Attack - Uhuru Confirms
Naona habari ulivyoileta kama unashangilia ushindi wa 14 kwa 2, basi hongera.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom