Hao hao ndio wenye hiyo biashara ya siraha ...Si kuna uzi humu wakenya wanajisifu kwa kupanuliwa kambi za US nchini mwao? what hell is this nightmare again!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya ni kubwa Westlands pekee sio Kenya yote. Wacha kutudanganya hapa !Duh
Kenya imekwisha kabisa walahi
Mkuu nani anataka kwenda peponi kabla ya wakati?Poleni Wakenya. Hivi kwanini polisi wa Afrika wakifika eneo la tukio wanakuwa wapo clueless na waoga kama raia.
poleni sana jirani na ndugu zetu Wakenya, so sad