Terrorist attack at Riverside, Nairobi-Kenya: All attackers eliminated and atleast 21 people are dead. Al-Shabab claimed responsibility for the attack

Terrorist attack at Riverside, Nairobi-Kenya: All attackers eliminated and atleast 21 people are dead. Al-Shabab claimed responsibility for the attack

15 Jan 2019
Nairobi, Kenya

Recce squad arrives at 14 Riverside following an explosion and heavy gunfire in the area of the Nairobi city, Kenya East Africa. People trapped inside the buildings report of incessant shootings with many taking to social media to say they are holed up in several of the adjacent buildings. Many others reported of an active shooter in one of the buildings.
 
Naangalia live hapa TV zote za Kenya wanaonesha watu wanatolewa humo ndani ni majonzi, inasikitisha.

Ila ulinzi mwanzo ulikuwa wa mashaka, watu wengi waliingia wakiwemo wananchi wa kawaida na waandishi wa habari ambavyo naona magaidi wangeweza kujichanga watoke.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
January 15, 2019
Nairobi, Kenya

Wakati tunasubiri taarifa za uhakika toka vyombo vya ulinzi na usalam Kenya kila baada ya muda mfupi. Hotel hii ya DusitD2 ipo 14 Riverside Drive, Nairobi Kenya. Pia eneo hilo limezungukwa na majengo ya huduma, maofisi na balozi za nchi kadhaa.

Mazingira ya hoteli hii ya nyota 5 ambapo tukio la shambulizi limetokea. Hoteli ina vyumba 126 vya kisasa kabisa na huduma za viwango vya kimataifa zinazopatikana ktk mahoteli yote yaliyo chini ya brand ya Dusit International yenye makao makuu Bangkok Thailand na hoteli ktk nchi 18 .

Source : miss trudy
 
Back
Top Bottom