Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Kuna maneno mengi yanasemwa kwamba Cybertruck kutoka Tesla imefeli sokoni, lakini wote tunaona ndio best selling EV truck hadi sasa.
Na pia hii EV haiuzwi officially China, lakini week iliopita imeonekekana kiwanda cha Magari cha BYD.
Ilianza kwa kupark nje ya parking ya kiwanda na kua kivutio kwa watu mbalimbali then baadae ikaingia ndani.
Je, Mchina anataka kufanya reverse engineering atoe gari kma ilo? Maana kufanya hadi maamuzi ya kununua Tesla USA hafu kuliimport hadi China ni serious issue.
Ni kitu cha kawaida makampuni ya magari kununua magari ya wapinzani na kujifua mazuri na mabaya ya wenzao ili kuboresha department yao ya R&D though.