Tesla wamezindua Second Generation Tesla Roadster. Ina uwezo wa Kupaa, Range Kilometa 1,000 na iko fast, 0-100 km/h chini ya Sekunde Moja!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Baada ya kusubiri sana, zaidi ya miaka Tisa, hatimaye Tesla wametuletea Roadster 2, ambayo mbali na sifa kibao, Ina uwezo wa Kupaa.

​
Kwa kutumia compressed air thrusters, kutoka SpaceX technology, gari Ina paa kwenye matuta and inaweza kuperform baadhi ya stunts ikiwa hewani.

Kwenye X (twitter), Tesla wameandika: "Today, Roadster presents a new moment in history – the best of the last human-driven cars,"
Kwanza ni fastest car in the world hadi sasa, inaenda 0-100 km/h ndani ya 1.9.second, na hii ni base model. Yaani ukiblink, hauioni. Kutakua na special model inaitwa, SpaceX package, hii itatoka 0-100 km/h chini ya sekunde moja. Itatumia cold-gas technology wanayotumia SpaceX kufanya matrip yao uko angani.

​
Pili, top speed inafika 400 km/h. Sijui, tutaitestia wapi hapa Tanzania.

Tatu, Ina bonge la battery la 200 kWh, inakupa range hadi ya Kilometa 1,000 kwa single charge, na inakuja na Miata tatu au Nne, AWD.

​
Kuhusu Kupaa, ni rocket science ila itakua kwenye model ya SpaceX package, kwahiyo zile seat za abiria zitakua replaced na special tank Composite Overwrapped Pressure Vessel (COPV) ambayo itazipower rockets kama 10 hivi ziliopo kwenye gari, kwahiyo itakapohitajika mfano, hizo thrusters zinapoint chini au pembeni na kupush izo cold-gas kwa extremely high pressure.

Na ikumbukwe, hii ndio gari ya Mwisho kutoka Tesla kuendeshwa Manually, yajayo yanafurahisha.

Bei sio kubwa, $200k hivi kwa base.

Your browser is not able to display this video.
 
Tlaatlaah kakupa like ...wajinga wakipongezana.
 
Hii ni balaa...
 
Wazee wa Copy and Paste wanasubiri kuiba files (hacking) Kisha waanze mass production Kisha zee la propaganda Toka uko uchinani Xi Jinping atakuja na nyuzi zake za kuisifu
&Kuabudu china kua Iko mbele miaka 100 kitech kuliko watasha
 
Ni vile Tu Wicknell kafariki hii angetuzawadia Sisi Marafiki zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…