Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,468
- 32,167
Itakapoingia sokoni bei itaongezeka mara dufu na baadhi ya features zitakuwa scraped.Baada ya kusubiri sana, zaidi ya miaka Tisa, hatimaye Tesla wametuletea Roadster 2, ambayo mbali na sifa kibao, Ina uwezo wa Kupaa.
View attachment 3691495
Kwa kutumia compressed air thrusters, kutoka SpaceX technology, gari Ina paa kwenye matuta and inaweza kuperform baadhi ya stunts ikiwa hewani.
Kwenye X (twitter), Tesla wameandika: "Today, Roadster presents a new moment in history – the best of the last human-driven cars,"
Kwanza ni fastest car in the world hadi sasa, inaenda 0-100 km/h ndani ya 1.9.second, na hii ni base model. Yaani ukiblink, hauioni. Kutakua na special model inaitwa, SpaceX package, hii itatoka 0-100 km/h chini ya sekunde moja. Itatumia cold-gas technology wanayotumia SpaceX kufanya matrip yao uko angani.
View attachment 3691496
Pili, top speed inafika 400 km/h. Sijui, tutaitestia wapi hapa Tanzania.
Tatu, Ina bonge la battery la 200 kWh, inakupa range hadi ya Kilometa 1,000 kwa single charge, na inakuja na Miata tatu au Nne, AWD.
View attachment 3691497
Kuhusu Kupaa, ni rocket science ila itakua kwenye model ya SpaceX package, kwahiyo zile seat za abiria zitakua replaced na special tank Composite Overwrapped Pressure Vessel (COPV) ambayo itazipower rockets kama 10 hivi ziliopo kwenye gari, kwahiyo itakapohitajika mfano, hizo thrusters zinapoint chini au pembeni na kupush izo cold-gas kwa extremely high pressure.
Na ikumbukwe, hii ndio gari ya Mwisho kutoka Tesla kuendeshwa Manually, yajayo yanafurahisha.
Bei sio kubwa, $200k hivi kwa base.
Kumbuka cyber truck bei aliyotamgaza wakati wa demo na baada ya kuingia sokoni features nyingine zilikuwa scraped.
Hiyo ni demo na huenda itachukua miaka kuingia sokoni. Besides kuna watu waliweka deposite ya roadster toka 2015, mpaka now hawajapata.
